Mtoto wa Hayati Julius K. Nyerere, John Nyerere yupo wapi?

Yeriko ni tapeli wa jina la familia ya Mwalimu amelitumia jina la Mwalimu vibaya kwa kujinufaisha kisiasa vyombo vya dola lazima zichukue hatua kwa yeriko Mara moja
 
It was the dream that . I had. Niliota sayari zinazunguka jua na miezi inazunguka sayari,like watching inside a clock. Halafu all those celestial bodies started rotating backwards. After rotating backwards for some time,again they started going forward . Ndipo hapo kati ya watoto watatu wa. Mwalimu,. Mako,. Magige na mimi,mmoja akachaguliwa kuwa rais. Nakumbuka specifically kwamba sio mimi niliyechaguliwa kuwa rais. Mimi nilibaki kuwa spiritual adviser or something. Tunajadili kuhusu haya mambo ya uchaguzi. Kwa sababu haijawahi kuwa tatizo tanzania kumpata rais,na mwaka huu we don't want it to be any different.

Kati ya Hawa wanaccm watatu moja atakuwa Rais wa tano wa JMT Mr Benard Membe, captain Charles Makongoro Nyerere na Mr January Yusuph Makamba
 
It was the dream that . I had. Niliota sayari zinazunguka jua na miezi inazunguka sayari,like watching inside a clock. Halafu all those celestial bodies started rotating backwards. After rotating backwards for some time,again they started going forward . Ndipo hapo kati ya watoto watatu wa. Mwalimu,. Mako,. Magige na mimi,mmoja akachaguliwa kuwa rais. Nakumbuka specifically kwamba sio mimi niliyechaguliwa kuwa rais. Mimi nilibaki kuwa spiritual adviser or something. Tunajadili kuhusu haya mambo ya uchaguzi. Kwa sababu haijawahi kuwa tatizo tanzania kumpata rais,na mwaka huu we don't want it to be any different.

Kwani ukiandika kiswahili fasahe bila kuchanganya na kingereza utaonekana haujui au wewe ni kichaa.
 
Watanzania acheni upumbavu basi me sijaona tatizo lolote kwa Andrew Nyerere kusema alichosema sababu naye kama mtanzania ana haki asilimia mia ya kutoa maoni yake na hisia zake na kupiga au kupigiwa kura katiba inamlinda acheni wendawazimu.

Mnamsakama na kumkashifu mtu kwa fact ya kipuuzi kabisa mbona mtoto wa Kikwete ni mbunge kwani naye si mtanzania mambo mengine watu muongee mkiwa na ufahamu na sio lazima utoe comment kwenye kila thread hapa jf kama huna la maana la kushare.
 
Last edited by a moderator:
Eleza kwamba ni mtoto wa nani? Maana kwa nijuavyo mimi we huwez kumkataa ndugu yako maana siri kuwa ni ndugu yako au siyo anajua baba yako au mama yako! Na pia tulitaka kuwajua watoto wa nyerere hasa wa kiume na wanachofanya kwa sasa ili tuone kama kuna anayefaa

Mnamtukana Marehemu Nyerere wazi wazi bila kificho!
 
Wakuu nakumbuka miaka ya 90 huyu Andrew hakuwa vizuri,
Nikimaanisha (mental) tofauti na sasa alikuwa mkimya, mpole na mzururaji yaani kama mfugo uliokosa mchungaji

hakika mkuu...mpaka leo hayupo sawa
 
  • Thanks
Reactions: ADK

Similar Discussions

Back
Top Bottom