Mtoto wa ghadafi, SEIF AL ISLAM

Bulah

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
247
56
Mtoto wa ghadafi hajakamatwa na waasi, kajitokeza na kasema bado anapambana. Vyombo vya habari vilidanganya. Chanzo Al-jezr.
 
Hajakamatwa kivip bana,...kakamatwa na kaongea na vyombo vy ahabari,....source rt
 
alikamatwa lakini alichomoka kwenye mazingira tatanishi

Kwa hiyo habari inatakiwa kuwa "mtoto wa Ghadafi atoroka" au sio?

When it come to the middle east - Al Jazeera remains to be a credible source.
 
Kwa hiyo habari inatakiwa kuwa "mtoto wa Ghadafi atoroka" au sio?

When it come to the middle east - Al Jazeera remains to be a credible source.

Me navyo dhani huyo dogo aliwatoroka hao jamaaa,

Ila tukubali tusikubali Tripoli kwa jinsi Ghaddafi alivyokuwa akijigamba nimeamni kuwa hata hapo Tripoli anawatu wachache sana hapo wanaomuunga mkono kama waasi wameweza kuingia duuuuh hiyo tayari imekula kwake, Nadhani mwakumbuka Ivory Coast ilivyo kuwa sasa ndivyo itakavyo kuwa kwa Ghaddafi na wanae.

Nilimwona Seif kwa Al-jazeera anajigamba lakini kwa hali ile inaonyesha dhahili walikuwa kwa kambi ya kupigana na kujificha na uwoga mkubwa mbona alikuwa akiongelea kwa Gari kama Tripoli ni Safe ???????
 
Ghadafi aliiingia kwa nguvu madarakani nae anatoka kwa nguvu.

Haya Mapinduzi yaliyoanzia kwa wenzetu nahisi harufu yake kuingia hapa Tanzania. Hili litatokea pale ambapo gape la matajiri na maskini linapoongezeka kila siku. Kuna siku hiki kizazi cha sasa kitaanza kujitoa muhanga kwa ajili ya manufaa ya kizazi kijacho.
 
alikamatwa lakini alichomoka kwenye mazingira tatanishi

Wametangaza mara mbili kuwa NATO imemuua mtoto mwingine wa Ghadafi Basi Tufanye walimuua halafu kafufuka mara mbili. Acheni kudanganywa waasi wanaonja JOTO ya jiwe waliingia wenyewe kwenye mtego vita bado mbichi. Hata BBC wamekiri hili
 
WAtu lazima muelewe wana habari ni binadamu wana utashi na matamanio mara nyingi wamekuwa wanatoa taarifa za uongo na kuwasababishia watu kufanya maamuzi yasiyokuwa sahihi. Mfano halisi ni jinsi wana habari wetu walivyolipamba suala la kikombe cha babu Loliondo na matokeo yake watu Vyombo vya magharibi nao walianza kuongopa zamani mwanzo kabisa wa machuko huko Libya. Watanzania kuweni makini na taarifa za wandishi na mara kwa mara tegemea zaidi analysis unayofanya mwenyewe.
 
Back
Top Bottom