Mtoto wa Gerezani alipogombea Ubunge nchini Canada

Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
7,543
2,000
Was born kiungani na sikukuu yan shule ya kisarawe ukuta wake uko barazani hapo then kuna wajinga waliokuja na maguta dar wanajifanya wajanjaa!
 

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
15,437
2,000
How about providing concrete details instead of vague references as to What, When, and Where?

1. Regional Manager of what computer company in Ottawa, and when?

2. What retail store in St. Leonard, and during what time frame?

3. Own line of products with a global presence? Well and fine. But should the "global line of products" be a secret too?
Schmidt,
Kipi kinachotafutwa?

Wastara haumbuki.
Wambili havai moja.
 

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
27,386
2,000
Mzee...
Mimi siye mwandishi.

Mwandishi ni Ilyassa Abdulwahid Sykes.
Hilo jina BOURASSA ni nini na pia kulikuaga na mtu anaitwa OMAR ILYASSI mwanaharakati mzuri kipindi Fulani na pia best yake Zitto kwa muda mrefu kabla huyo Omar sijamkuta kwingine je ni Ndugu au
 

Chillah

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
5,957
2,000
FAMILIA YA MAREHEMU OMARY SYKES KUWASILI MAREKANI

Familia ya mwanafunzi mtanzania aliyeuwa mjini washington DC, marehemu Omary Sykes inatarajiwa kuingia nchini Marekani leo hii, swahili TV inaripoti. Kwa mujibu wa vyanzo vyetu faimilia hiyo itaongozwa na baba wa marehemu bwana Adamu Sykes na baba mkubwa wake bwana Ilyasa Sykes.Marehemu ambaye alikuwa na miaka 22, ni mjukuu wa mpigania uhuru maarufu wa Tanzania mzee Kleist Abdulwakili sykes na pia ni ndugu wa msanii star wa bongo Flava Dully Sykes.Omar aliuawa kwa shambulio la risasi karibu na maeneo ya chuo anachosoma cha Howard University usiku wa alhamisi julai 4, 2013 akiwa na mwenziwe katika mtaa wa Fairmont North West, kwa mujibu wa Polisi Washington DC (MPDC) na Polisi wa chuo hicho (HPD), watu wawili ndio wanaoshukiwa kuhusika na mauaji hayo.Wahusika bado hawajatiwa mbaroni.Kwa mujibu wa habari za ndani za jeshi hilo la Polisi, kitengo maalum cha uchunguzi wa mauaji kilichaanza upelelezi mkali ukiongozwa na Bwana Gabriel Truby wa MPDC na wameieleza Swahili TV*, licha ya upepelezi wanaoendelea nao pia wanaomba ushirikiano wa wananchi kwajili ya kufanikisha uchunguzi wao. zawadi ya dola 25,000 itatolewa kwa yeyote atakayefanikisha kukamatwa kwa wauaji hao.Maripota wa Swahili TV wamefanikiwa kufanya mawasiliano na kitengo cha mauaji cha MPDC, Howard University Polisi pamoja na familia ya marehemu Omar Sykes, kwa mujibu wa maelezo yao mwili wa marehemu bado upo hospitalini kwa ajili ya uchunguzi na swahili TV inaahidi kuwaletea habari zote zinazohusiana na upelelezi huu.


CHANZO: Said Nuhu Blogspot, july 10 2013
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom