Mtoto wa Gaddafi na hawara wake watembelea Tanzania

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Mtoto wa Gaddafi na hawara wake watembelea Tanzania
saadi-gaddafi-and-dafinka.jpg
Saadi Gaddafi akiwa kwenye pozi na hawara wake Dafinka Mircheva kwenye mbuga za wanyama TZ

...Baada ya miaka miwili (2006), Dafinka na Saadi walitembelea mbuga za wanyama Tanzania kwa muda wa wiki moja. Walikaa kwenye hoteli ya bei mbaya (paundi 600 kwa usiku mmoja). Dafinka anasimulia kwamba Saadi "aliua swala mmoja. Nakumbukuka aliniuliza mnyama gani anafaa kwa mflame? Saadi alijiona yeye ni kama mtoto wa mfalme." Ni katika safari hii ambapo picha ya wapenzi hao wawili walipiga wakiwa pamoja.

Dafinka anaelezea zaidi kwamba Saadi alikuwa hapendi kupigwa picha (kufotolewa). "Vile vile alichukia sana alipoulizwa maswali kuhusu baba yake (mzee Gaddafi). Alitegemea mihela toka kwa baba yake kwa hiyo hakupenda kumsema vibaya. Kuna wakati mke wake alikuja kumtembela Paris. Saadi alimpangia mke wake chumba kwenye hoteli moja wakati yeye (Saadi) na mimi tulikula uroda kwenye hoteli nyingine," anaeleza Dafinka.

Pata uhondo wote hapa!
Tafsiri: Kwa hisani ya Askari Kanzu (JF)
 
Ya kweli haya au ndo kuongeza habari JF siku ipite. hata hivyo asante kutupa hiyo habari
 
Ya kweli haya au ndo kuongeza habari JF siku ipite. hata hivyo asante kutupa hiyo habari
Huu sio udaku. Ni stori yenye chanzo cha uhakika! Angalia Dafinka alivyokula pozi la kiwizi-wizi. Hata ingekuwa ni wewe ungetokwa na udenda wa fisi!

article-1363413-0D7581FB000005DC-931_468x619.jpg


Hii picha inamuonyesha Saadi akiwa mawindoni TZ

article-1363413-0D77F929000005DC-893_468x570.jpg
 
Back
Top Bottom