Mtoto wa flora Mbasha akiwa na baba yake mpya

17b1b09b4f57e886337113f802156013.jpg

Duh
 
LiFlora halina ata aibu kutangaza kwenye media huu ufuska wake kuja kuona na Mtt na kumuacha mzee mwenzake waliokula nae ujana pamoja nn.. huu ni uhuni mtupu. .

Unasumbuka na wivu ama upumbavu. Kama na wewe unaishi na mme mhuni unavumilia kwa sababu ya hofu ya watu watakusema, nenda kwa flora akufundishe. Unamsema flora kwani huyo mme wake ni Minor? Au unataka uolewe naye wewe?

Tumehcoka na ufarisayo wenu. Kwendeni huko!
 
Hapo mtoto anasema '' jamani baba''........ libaba linaitika Eeeee!!
Mbasha alikubali kirahisi tu mwanae na ***** kuondoka kirahisi hivi........ asee mie lazima nikuroge mpaka utembelee Matako na mara nyingi waachaji hawajiandai ajili ya kiburi!!

Ggoma zito nimelizoea, liponyoke kirahisi tu mweee!! watu wana bahati sana, aseeh na madawa yooote haya!! kwanza Flora mweupe tu yule mlokole. nampiga juju akome! haka kajamaa nako sijui kali jiamini nini kuchukua mke wa mtu!
 
Back
Top Bottom