Mtoto wa dawa si mtoto! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto wa dawa si mtoto!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jaguar, Aug 15, 2011.

 1. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Imemkuta housegirl mmoja hapo mji kasoro bahari.Yeye alikuwa na jukumu la kumlea mtoto wa mwajiri wake ambaye inasemekana alipatikana kwa nguvu za madawa ya 'kalumanzila'.Siku moja huyo housegirl aliandaa maziwa fresh kwa malengo ya kumnyesha huyo mtoto mwenye umri wa kama miezi 4.Aliamua kutoka nje ili kusubiri maziwa yapoe,aliporudi ndani alikuta hakuna maziwa,kikombe kitupu.Hii hali ya maziwa kunyweka na mtu asiyejulikana ilijirudia kama mara 3.Hausigeli huyo siku moja akaamua kuweka mtego,akaweka maziwa mezani,akatoka nje na kwenda kuchungulia dirishani.Alichokiona ni yule mtoto kubadilika kuwa joka kubwa,likanywa maziwa na kisha likajirudi kuwa mtoto wa binadamu wa kawaida.Huo ndo ulikuwa mwanzo wa safari ya huyo housegirl kurudi kwao iringa.
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Inafaa kwenye jukwaa la tetesi, utani na udaku
   
 3. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hahahaaaaaaaaaaa jamani hizi hadithi za paukwa na pakawa JF sio mahali pake...lol
   
 4. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Hadithi njoo utamu kolea!
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Watoto wa kupatkana kwa waganga "wachawi" ci watoto waukweli, mambo yao huwaga tofauti na ya binadamu wngn mf. Watoto hawa hupenda kukaa pekeyao sehemu ambapo haonekani "kujificha" wakifikia umri wa kuzaa wengi wao hawapati watoto nk. Hvyo mtegemee mwenyez mungu kwani kila kitu kwake kinawezekana achana nakutafuta watoto wa kichawi.
   
 6. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  <br />
  <br />
  si rahisi kukufanya uniamini nisemacho but i'm not joking!
   
 7. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #7
  Aug 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Mtoto wa dawa ni jini.
  Mtoto wa dawa, wana tabia za ajabu zisizoeleweka.
  Mtoto wa dawa darasani piga ua hawaelewi chochote.
  Mtoto wa dawa akifikisha miaka 30 shukuru Mungu
   
 8. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,557
  Trophy Points: 280
  no comments.
   
 9. Nasema

  Nasema JF-Expert Member

  #9
  Aug 16, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 558
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hii imekaa kama uzushi au kichekesho/kibwagizo fulani hivi, lakini ni habari ya kweli, mi nimeiona hiyo picha yenyewe. Na madai ya mama mtoto ni kwamba mtoto huyo wa miujiza na madawa hakumtoa kwa kalumanzila mwingine yeyote bali ni huyo anayejulikana kama sijui nabii au mtume (mi sivielewe vizuri hivi vyeo) JOSHUA ambaye ni maarufu sana hapa Morogoro! Tuwe makini sana na hawa mitume na manabii, mengine yatatutokea puani!
   
 10. Nasema

  Nasema JF-Expert Member

  #10
  Aug 16, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 558
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hii imekaa kama uzushi au kichekesho/kibwagizo fulani hivi, lakini ni habari ya kweli, mi nimeiona hiyo picha yenyewe. Na madai ya mama mtoto ni kwamba mtoto huyo wa miujiza na madawa hakumtoa kwa kalumanzila mwingine yeyote bali ni huyo anayejulikana kama sijui nabii au mtume (mi sivielewe vizuri hivi vyeo) JOSHUA ambaye ni maarufu sana hapa Morogoro! Tuwe makini sana na hawa mitume na manabii, mengine yatatutokea puani!
   
 11. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #11
  Aug 16, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,210
  Likes Received: 1,011
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Mkuu huyo jushua ni nani hasa? Hebu fafanua kidogo tafadhali
  .
   
Loading...