Mtoto wa Darasa la Saba ajifungua ndani ya chumba cha mtihani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto wa Darasa la Saba ajifungua ndani ya chumba cha mtihani.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by adakiss23, Sep 21, 2012.

 1. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,255
  Likes Received: 518
  Trophy Points: 280
  Mwanafunzi wa darasa la saba huko bukoba amejifungua mtoto wa kiume katika chumba cha mtihani. Baada ya kusikia uchungu aliomba ruhusa kwa msimamizi kutoka nje lkn msimamizi alimchomolea akihisi anaenda kupiga chabo. Ndipo baada ya muda akaanguka chini huku akishikilia tumbo ndipo walipobaini ni uchungu wa kujifungua ndipo walipomleta mkunga wa jadi kumsaidia. Mtoto amepewa jina la OMR.
  Source: TBC taifa

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 2. Iselamagazi

  Iselamagazi JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 2,203
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Khaaa! Kaaazi kweli kweli!
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  nimelipenda JINA TU
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,780
  Likes Received: 731
  Trophy Points: 280
  na atafaulu kwa kishindo.
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,575
  Likes Received: 15,000
  Trophy Points: 280
  sasa shida iko wapi?
   
 6. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #6
  Sep 21, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,213
  Trophy Points: 280
  Kama huoni shida hapo kwa mtoto wa darasa la saba kujifungua. Basi inabidi utafute wataalamu wa akili wakupe ushauri nasaha na kukuandikia dawa uanze kumeza haraka sana, Usije kuanza kubaka watoto wa dada zako. Maana una dalili zote za kuwa Pedophile and a serial rapist...pitiful.
   
 7. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #7
  Sep 21, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 46,456
  Likes Received: 1,227
  Trophy Points: 280
  Huko Bukoba huko lol!
   
 8. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #8
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  OMR stands for?...
   
 9. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #9
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  nasikia katerero inahusika sana kwenye ujauzito...lol
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,023
  Likes Received: 5,193
  Trophy Points: 280
  namtakia huyo mtoto mwenye mtoto malezi mema
   
 11. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #11
  Sep 21, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 756
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  You are not serious!
   
 12. M

  Mugaga JF-Expert Member

  #12
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 382
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Katerero ni kijiji kilichopo Kemondo bukoba vijijini na kuna gulio kubwa huwa linafanyika hapo katerero kila wiki.
   
 13. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #13
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 680
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 80
  OMR stands for Optical Mark Recognition. Huu ni mfumo mpya wa kutambua human marked data from forms. Hizi forms zinaweza kuwa na survey data au majibu ya mtihani. Kwa case ya huyu binti ni kwa kuwa huu mfumo unatumika kusahihisha majibu ya mtihani wa std seven. So funny!
   
 14. Fekifeki

  Fekifeki JF-Expert Member

  #14
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,093
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Katerero ni sehemu fulani huko Bukoba, ndiko wanafunzi wanakopatia mimba au!?d
   
 15. i

  issabela Senior Member

  #15
  Sep 21, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hyo kali dah wamemruhusu kuendelea na mtihani huyo dada mpaka akafike chuo! Atakuwa na watot wangap!
   
 16. salito

  salito JF-Expert Member

  #16
  Sep 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,168
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Nasikia hasira sana,mtoto wa la 7 ameshaanza kufanya matusi???acha kwanza niondoke hapa.
   
 17. Laigwanan76

  Laigwanan76 JF-Expert Member

  #17
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 539
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Yaani wamemuwowa,mpaka wakamuwoooowaaaaa.......mpaka akashiba!!!???.......kweli people bad,yaani cjui huyu atakuwa na perception gani katika maisha,most likely ataanza kuchukia maisha mapema sana
   
 18. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #18
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,666
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  OMR =Optical Mark Reader
   
 19. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #19
  Sep 21, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,168
  Likes Received: 3,289
  Trophy Points: 280
  wanafunzi wanaopata mimba mashuleni ni viherehere vyao.....
   
 20. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #20
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,328
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 160
  Hapo ni baba anawaambia watoto wake! Upuuzi mtupu!!!!?
   
Loading...