Mtoto wa Charles Kimei afunga ndoa Jijini Dar. Kweli mjini pesa shikamoo kelele

Hizi ndoa za namna hii huwa na nuksi kwani hazidumu sijui kwanini!!! Nakumbuka huka nyuma kulikuwa na ndoa moja kati ya mtoto wa katibu Mkuu wa Rais wa wakati huo na mtoto wa waziri mmoja mstaafu; Ilikuwa ndoa ya shamra shamra na gharama kubwa kama hii lakini kwa basait mbaya haikuchukua hata miezi sita wakakorofishana dio ikawa bye bye wakagawana mbao!!!! Nawatakia kila lililojema hawa vijana wawili wasipatwe na balaa kama hilo!!!
Kamati ya roho mbaya naona mnajiwakilisha
 
Acha wivu. Tofautisha wanasiasa (pesa ya msimu) vs wafanyabiashara (pesa za wakati wote)
 
Hizi ndoa za namna hii huwa na nuksi kwani hazidumu sijui kwanini!!! Nakumbuka huka nyuma kulikuwa na ndoa moja kati ya mtoto wa katibu Mkuu wa Rais wa wakati huo na mtoto wa waziri mmoja mstaafu; Ilikuwa ndoa ya shamra shamra na gharama kubwa kama hii lakini kwa basait mbaya haikuchukua hata miezi sita wakakorofishana dio ikawa bye bye wakagawana mbao!!!! Nawatakia kila lililojema hawa vijana wawili wasipatwe na balaa kama hilo!!!
Mzee unaongelea ndoa za namna hii lakini mfano wako mmoja?!
Kuna tofauti kati ya mali za msimu & za kudumu
 
Wasukuma exposure tunayo bagheshi tatizo sio watu wa showoffs ndio maana huwezi kuta harusi zetu zina publicity kiivo

Sent using Jamii Forums mobile app
Msukuma mwenzako kaonyesha ushamba wa hali ya juu, kaenda ziara Selou kakuta hoteli ya kitalii chumba usiku mmoja milioni tatu eti anaagiza TAKUKURU NA TRA wachunguze, wtf, yani hajui kabisa na hana exposure, aende Arusha akaone hoteli milioni 6 na wachagga wanalala, mna ushamba sana, angalia kangi lugola na wenzake
 
Wewe ni mchaga naona unatuchokoza wasukuma. Nitamwacha dada yako!
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom