Mtoto wa Charles Kimei afunga ndoa Jijini Dar. Kweli mjini pesa shikamoo kelele

Mie namiliki simu na bundle tu
orodhesha ulivyo navyo niamini kama wewe si sakala mwenzangu
mimi nina vifuatavyo
simu
godoro 4X6
chupa ya chai
taa ya koroboi
vikombe viwili
vjiko vitatu
sahani mbili
mwiko
sufuria
shati 4,suruali 3,viatu pair 1,boksa 2,
nimemaliza
 
Ukitaka kujua tabia za wachaga wakipewa madaraka nenda CRDB. Hawa jamaa siku wakishika madaraka makubwa serikalini kama vile urais wanaweza kuleta machafuko makubwa sana kwa sababu ya ukabila.
Kam ilivyo sasa na Wasukuma, au sio? Kajambe mbele huko na inferiority complex yako. Go blame your ancestors who did not embrace education. For your information wachagga hawanaga shida na kuongoza serikali. They are fine and progressive wherever they settle.
 
Good for them....

By the way harusi/sherehe ya harusi kwa pesa waliyonayo ingelipendeza kama ingefanyika mandhari fulani ya ufukweni au sehemu ya wazi nje na mida ambayo jua halijakuchwa/halijachwea...

Hizi za usiku huwa vurugu vurugu na walevi ndio hujaa sana huko...
WAO WAMEPENDA HIVI.
 
Undugulization na ukabila kwenye CRDB huwezi kuukwepa..unataka kusema wachapakazi ni wao tu tz nzima..y karibia 80% ya wafanyakazi wa benk hiyo ni wachaga..hili jambo usilitetee hata kidogo.
Serikal zilizopita wachaga walijazana TRA vyeo vya juu wote waliwekana wao, Tujiulize mbona sasa ivi awapo ina maana awajasoma ? Au walijiwekea mtandao wao kwaiyo umevunjwa?
 
Nikweli kwenye ofisi yoyote bosi akiwa mchaga atampa ajira ya kufagia ofisini hadi mama yake, yani awajui kula nakipofu kabisa yani , na kipindi ichi magu ana wakaba Man to Man .
Ukitaka kujua tabia za wachaga wakipewa madaraka nenda CRDB. Hawa jamaa siku wakishika madaraka makubwa serikalini kama vile urais wanaweza kuleta machafuko makubwa sana kwa sababu ya ukabila.
 
Kuna kipi cha ajabu huko crdb.. Acha kulia lia
CRDB yenyewe kwa sasa japo ni benki ya kizalendo inapumulia mashine hakuna BONUS tena, hakuna CRDB Family Day kama enzi zile hakuna faida njaa tu biashara ni ngumu mno na ushindani ni mkali sana imekuwa kama ACCESS Bank tu. Hata ijaze wakaskazini ni bure tu ndo maana mzee baba akaamua kujiondoa isije ikamfia mikononi akavuruga rekodi yake.
 
Kisha anaondoka na kila kitu,miafrika ubinafsi unatupeleka pabaya.
Kawaacha wafuasi hoi anapiga harusi ya mabilioni na ataitwa shujaa huyu.
JPM muone huyu ndugu umtembelee alafu umsamehe.
 
Green pasture

Hizi ndoa za namna hii huwa na nuksi kwani hazidumu sijui kwanini!!! Nakumbuka huko nyuma kulikuwa na ndoa moja kati ya mtoto wa katibu Mkuu wa Rais wa wakati huo na mtoto wa waziri mmoja mstaafu; Ilikuwa ndoa ya shamra shamra na gharama kubwa kama hii lakini kwa bahati mbaya haikuchukua hata miezi sita wakakorofishana ndio ikawa bye bye wakagawana mbao!!!! Nawatakia kila lililojema hawa vijana wawili wasipatwe na balaa kama hilo!!!
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom