Mtoto wa Charles Kimei afunga ndoa Jijini Dar. Kweli mjini pesa shikamoo kelele

Ilikuwa harusi ya mtoto yupi wa jpm? Maana ana watoto 3 au 4 hivi?
Mbona yeye mwenyewe alisikika live akiwauliza wateule wake wanaofanya sherehe kwenye teuzi kama walisikia popote wakati mtoto wake mwenyewe alipofunga ndoa.

Vv
 
Ungekuwa na akili wasingekunyima hizo 100m. Wewe unafikiri ukiwa na kamtaji kako ka 60m ndio tiketi ya kupewa 100m. Kuna taratibu kama unajiona una akili timiza utapewa hio hela au ungekuwa na akili zaidi ungekuza kimtaji chako.
Hakuna benki yoyote hapa tz inakopesha zaidi 50% ya mtaji halisi wa mwombaji.

Hii ni kwa mujibu wa sheria za kibenki from BOT, na sio porojo.

Dhamana haiwez kua guarantee ya mwombaji kupata mkopo.

Hata kama ingekua na thamani zaid 90% ya mkopo ulioombwa.

Kwa maana,
Lengo LA benki kukopesha ni kupata faida endelevu kupitia riba anayotozwa mteja Mara kwa mara.

Na sio kumfilisi mteja.

Thanks RRONDO kwa mchango wako.
 
Kinachokopa si dhamana Bali flow ya cash kwa mkopaji (kupitia mshahara/biashara).
 
Back
Top Bottom