Mtoto wa Charles Kimei afunga ndoa Jijini Dar. Kweli mjini pesa shikamoo kelele

Hii arusi , kwa viwango vya bongo imepita kiwango cha ufahari. Mungu awasaidie tu kusikia kwenye social media kuwa wameanza kuparangana na kudaiana talaka.

Kwangu mimi, haikupasa kuwa ya fahari kiasi hicho labda kwa kuwa sina hela kiwango hicho. Katika suala la arusi za watoto, baba Jessica (JPM) alikuwa sahihi kwenye arusi ya mtoto wake.

Vv
Ndio maana watu wana mitizamo tofauti kwny maisha,no. hio hio unayoiona wewe ni 6 aliyesimama upande wa pili anaiona ni 9.
 
Ndoa maaskofu watatu. Hivi na za waumini wa kawaida huwa zinakuwa hivi? KKKT kwa kupenda wenye pesa tu. Yaani Shoo katoka Kilimanjaro kuja kufungisha ndoa Dar?Ama kweli Yesu peke yake ndo hakuwa mbaguzi.

Waumini wa kawaida mwenyewe ushatamka yaani waumini wanaoishi buza, magulumbasi, uswekeni huko hata ukifa utajijua mwenyewe
 
Ndio maana watu wana mitizamo tofauti kwny maisha,no. hio hio unayoiona wewe ni 6 aliyesimama upande wa pili anaiona ni 9.
Wewe unaonaje mkuu? Maoni yako tafadhali .

Kumbuka hata kama wengine 6 wataiona kuwa ni 9, bado haiondoi ukweli kuwa 6 itabakia kuwa 6 na 9 haiwezi kuwa 6 na kinyume chake.

Vv
 
Harusi ya mwanangu mlwafu nadhani gharama zake haikuzidi hata kipaimara cha mtoto wa kimei
 
Sijawahi kuona maaskofu wa RC wanafungisha ndoa chilia Mbali maaskofu kadhaa kukusanyika kufungisha ndoa kwa RC sijawahi ona sijui ni kwanini.
Kaa kimya kama hujaona kwenye ndoa tafuta kwenye misiba wapo kibao hao maaskofu wakatoliki wakiwazika wakubwa.
 
Ilikuwa harusi ya mtoto yupi wa jpm? Maana ana watoto 3 au 4 hivi?
Hii arusi , kwa viwango vya bongo imepita kiwango cha ufahari. Mungu awasaidie tusije kusikia kwenye social media kuwa wameanza kuparangana na kudaiana talaka.

Kwangu mimi, haikupasa kuwa ya fahari kiasi hicho labda kwa kuwa sina hela kiwango hicho. Katika suala la arusi za watoto, baba Jessica (JPM) alikuwa sahihi kwenye arusi ya mtoto wake.

Vv
 
Kweli pesa shikamoo,maaskofu walivyojaa utadhani wanamsimika askofu mwenzao kumbe wapo kwenye harusi,sijui harusi ya mwanangu huku Pugu maaskofu watakuwepo kufungisha ndoa ya mwanangu.
Hapo kila mtu anaondoka na bahasha yenye ujazo wa kueleweka

Japo cover ni Shukrani sana Baba Askofu jmn...Ni kwa neema tu ya Mungu jamani lol ashoooong....
 
Kwa akili yako labda umeona afisa wa benki amefahamu naweza kufanyaje ili niwalize. Kwa usilolijua siku hizi kuna system mpya inayohusiana na mikopo inaingiliana na mabenki yote Tanzania,
yani niweke bond nyumba ya zaidi ya mil 200 nikimbie na milioni 100, nianze kutafutwa dukani kila siku na kupigwa ban ya kukopa benki yoyote Tanzania. Ndo mana mnalalamika CRDB kumejaa Wachagga waacheni aisee hilo kabila limetupita mbali kwa maono. Tukubali tu
Hakuna maono yoyote
Mkoloni aliwahi kwao wakawahi shule
Ndo mana siku hizi makabila yote yako kila sehemu
 
Back
Top Bottom