donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,040
- 21,513
Sijaona hata ka funcargo, Daah acha tuzisake ngawira
Heshima pesa shikamoo makelele tu, afu mkuu huyo kimei ni nani?
Pesa sabuni ya roho
Mimi Kimeo simpendi kwa legacy yake ya ukabila pale crdb. Kuajiri 80% ya wafanyakazi kutoka kaskazini kwenye nchi yenye makabila zaidi ya 120 hana cha kumpongeza.
Kwa akili kama hizi huwezi kupata kazi pale CRDB.... Pole sana nduguMimi Kimeo simpendi kwa legacy yake ya ukabila pale crdb. Kuajiri 80% ya wafanyakazi kutoka kaskazini kwenye nchi yenye makabila zaidi ya 120 hana cha kumpongeza.
Mimi Kimeo simpendi kwa legacy yake ya ukabila pale crdb. Kuajiri 80% ya wafanyakazi kutoka kaskazini kwenye nchi yenye makabila zaidi ya 120 hana cha kumpongeza.
Hili ni eneo lenye asili ya watu wanaojua utawala wa kitu fedha ndio maana angalia hata asilimia kubwa ya waliowahi kuwa mawaziri wa fedha ni wa eneo hiloSikupingi mkuu, asilimia kubwa ya employees wa charlie romeo delta bravo ni kina meko
Sana mkuu hata kuku wako anakudonoa bila wasiwasiIla umasikini ni mbaya sana
Maji hufuata mkondo mkuu, ukiona yameanzisha njia nyingine hayo ni mafuriko mkuuHili ni eneo lenye asili ya watu wanaojua utawala wa kitu fedha ndio maana angalia hata asilimia kubwa ya waliowahi kuwa mawaziri wa fedha ni wa eneo hilo
Mtoto wa kishua...
Yes Nita Anzia hapo leo kabla sija malizia Samaki Samaki Masaki