Mtoto wa Charles Kimei afunga ndoa Jijini Dar. Kweli mjini pesa shikamoo kelele

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,031
21,499
Sijaona hata ka funcargo, Daah acha tuzisake ngawira
IMG-20190831-WA0015.jpeg
IMG-20190831-WA0017.jpeg
IMG-20190831-WA0018.jpeg
IMG-20190831-WA0020.jpeg
IMG-20190831-WA0019.jpeg
 
Naomba uendelee kutu update na ukumbini maana sie tulio mbali na upeo wa jiji la daisaama tutashiba kwa macho na wikiendi kuwa murua kabisa.

Hongera kwa wazazi na kijana, binti muolewaji ajiandae kisaikolojia kuishi kwenye ndoa na si kupanga na kudhibiti mali alizonazo mumewe au kumdhibiti mumewe au kumpangia arudi saa ngapi nyumbani.

Mweeh nyege hizi,Hata sijui nimeandika nini wakati.....

Nawatakia maharusi Mahaba telee.
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom