Mtoto wa Charles Kimei afunga ndoa jijini dar... Kweli mjini pesa shkamoo kelele....

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
19,540
Points
2,000

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
19,540 2,000
Hata hizo 60m unakuta kahesabia na nyumba ya baba yake. Afisa mikopo alipomuona dogo anavyojieleza na kiduku chake huku anachat kwenye groups za WhatsApp akaona isiwe tabu
😁😁😁 umenikumbusha kiduku lilo. Chalii kaona 60m bonge la namba. Kuna vijana wanazungusha 600m mpaka B hapa town af wako kimya tu.
 
DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Messages
7,960
Points
2,000

DeepPond

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2017
7,960 2,000
Ungekuwa na akili wasingekunyima hizo 100m. Wewe unafikiri ukiwa na kamtaji kako ka 60m ndio tiketi ya kupewa 100m. Kuna taratibu kama unajiona una akili timiza utapewa hio hela au ungekuwa na akili zaidi ungekuza kimtaji chako.
Hakuna benki yoyote hapa tz inakopesha zaidi 50% ya mtaji halisi wa mwombaji.

Hii ni kwa mujibu wa sheria za kibenki from BOT, na sio porojo.

Dhamana haiwez kua guarantee ya mwombaji kupata mkopo.

Hata kama ingekua na thamani zaid 90% ya mkopo ulioombwa.

Kwa maana,
Lengo LA benki kukopesha ni kupata faida endelevu kupitia riba anayotozwa mteja Mara kwa mara.

Na sio kumfilisi mteja.

Thanks RRONDO kwa mchango wako.
 
joshua_ok

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Messages
9,718
Points
2,000

joshua_ok

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2012
9,718 2,000
Hakuna benki yoyote hapa tz inakopesha zaidi 50% ya mtaji halisi wa mwombaji.

Hii ni kwa mujibu wa sheria za kibenki from BOT, na sio porojo.

Dhamana haiwez kua guarantee ya mwombaji kupata mkopo.

Hata kama ingekua na thamani zaid 90% ya mkopo ulioombwa.

Kwa maana,
Lengo LA benki kukopesha ni kupata faida endelevu kupitia riba anayotozwa mteja Mara kwa mara.

Na sio kumfilisi mteja.

Thanks RRONDO kwa mchango wako.
Kinachokopa si dhamana Bali flow ya cash kwa mkopaji (kupitia mshahara/biashara).
 
Forum statistics

Threads 1,343,415
Members 515,055
Posts 32,784,063
Top