Mtoto wa Bosi ni Bosi...Amini Usiamini!

Mkuu Sikonge, ni kweli ni kakubwa, lakini compare na huyo Mkuu kiumri!, more than twice!


Ndo zao hizo mabosi hawa...They just want yo use the surbodinates...then wanawa'dump.
Na hiyo suti vp mkuu, ni ya utata nini!

Sasa PJ, simu ya mtoto vipi?

Juu ya SUTI ni kwamba za kawaida unanunua umesimama dukani yaani MPYA. Ila zile za MITUMBA yaani zetu unakuta rundo limewekwa chini na watu wanainama kuchagua VITU VIKALI ili wawashinde majirani zao. Huwa nikizipiga kweli Majirani wanahangaika sana wasimame angle gani ili waniangalie bila ya mimi kuwaona. Ila hiyo ni Sikonge. Nikifika Dar na hiyo suti iliyofuliwa MAJI badala ya DRY CLEANER, inakuwa kituko.
 
Huwezi jua..
Labda jamaa moyo wake umemdondokea mtoto wa bosi

Huyo binti ana miaka 20 ni mwanamke mzima huyo kwahiyo huyu jamaa msifikri ni ***** ,inawezekana anamfanyia mahesabu mtoto wa bosi wake!! He seems to be a smart dude!
 
Huyo binti ana miaka 20 ni mwanamke mzima huyo kwahiyo huyu jamaa msifikri ni ***** ,inawezekana anamfanyia mahesabu mtoto wa bosi wake!! He seems to be a smart dude!
Mahesabu gani hayo ya kukimbizana na mabegi kwenye ngazi, kama vile hana surbodinates?

Si ange'press button moja tu, na mtu angekuja fasta kubeba hayo mabegi ya binti...
 
Back
Top Bottom