Mtoto wa Alexander Dugin mshawishi mkubwa wa Putin auwawa

mtarimbo

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
1,529
3,919
Inavyoelekea walimlenga huyu jamaa ,maana ndiye anaaminika kumshawishi Putin kuivamia Ukraine, hijulikan ni kundi gan lihusika kwenye shambulio hilo.
Alexander Dugin, a far-right Russian author and ideologue, in Moscow in 2016. His daughter has been killed in a car explosion, according to Russian state media.

(CNN)Darya Dugina, the daughter of influential Russian philosopher Alexander Dugin, was reportedly killed on Saturday when the car she was traveling in exploded in the Moscow region, the Russian state news agency TASS has reported.
Andrei Krasnov, head of the Russky Gorizont (Russian Horizon) social movement and a personal acquaintance of the woman's family, told TASS on Sunday that Dugina had been killed when her car caught fire following an explosion.
When Dugina "turned onto the Mozhaiskoye highway near the village of Bolshiye Vyazemi, there was an explosion, the car caught fire immediately," Krasnov told TASS.

"The flames completely engulfed it. She lost control because she was driving at high speed and flew to the opposite side of the road," Krasnov added, as cited by TASS.
 
Alexander Dugin, mwandishi wa siasa kali za mrengo wa kulia wa Urusi na mwana itikadi, huko Moscow mwaka 2016. Binti yake ameuawa katika mlipuko wa gari, kulingana na vyombo vya habari vya serikali ya Urusi.
(CNN) Darya Dugina, bintiye mwanafalsafa mashuhuri wa Kirusi Alexander Dugin, aliripotiwa kuuawa siku ya Jumamosi wakati gari alilokuwa akisafiria lilipolipuka katika eneo la Moscow, shirika la habari la serikali ya Urusi TASS limeripoti.
Andrei Krasnov, mkuu wa vuguvugu la kijamii la Russky Gorizont (Russian Horizon) na mtu anayefahamiana na familia ya mwanamke huyo, aliiambia TASS Jumapili kwamba Dugina aliuawa wakati gari lake liliposhika moto kufuatia mlipuko.
Wakati Dugina "alipogeuka kwenye barabara kuu ya Mozhaiskoye karibu na kijiji cha Bolshiye Vyazemi, kulikuwa na mlipuko, gari likashika moto mara moja," Krasnov aliiambia TASS.

"Moto uliiteketeza kabisa. Alipoteza udhibiti kwa sababu alikuwa akiendesha gari kwa mwendo wa kasi na akaruka upande wa pili wa barabara," Krasnov aliongeza, kama ilivyotajwa na TASS.
 
Huyo kgb washampunguza Kwa kifupi Russia sio Iran utafanya ugaidi wa staili hyo huyo utakuta western walishamuingiza kwenye payroll sababu ya ukaribu na Mzee wake iwe rahisi kupenyeza vitu Kwa bint vifike Kwa Mzee ambaye ndio partner wa puttin,mtatafuta sn taarifa za kujifariji Kwa kifupi huyo ameisaliti system huwezi kulipua bomu Moscow.
 
Mjomba unaongea ujinga gan. Hiv unakumbuka wale magaid walivyowasumbua hapo moscow kweli wewe
 
Safari hii Putin kayakanyaga, ubabe wake wa kijinga umemponza
Ngoja ashikishwe Ili iwe funzo kwa madikteta wengine

Hivi mkuu huna habari kwamba Putin alichaguliwa kidemokrasia na Warusi wenyewe kwa kupigiwa kura?? Sasa huu udikteita unao usema kila mara humu unatoka wapi - mimi sikuelewi kabisa!!

Kitu kingine ambacho nataka members wakifahamu ni kwamba Taifa la Urusi sio tena la Kikoministi, wanafuata mfumo wa kidemokrasia na kuna vyama vingi vya upinzani huko Urusi - binafsi nakushauri kwa nia njema tu, kwamba from now on husighiribiwe sana kwa habari zinazo enezwa na MSM za magharibi specifically CNN, FoxNews, MSNBC na BBC,SkyNews nk zichukulie with a pinch of SALT hasa linapo kuja suala/habari kuhusu Urusi au Uchina vyombo vya magharibi upendelea sana ku-demonize mataifa hayo mawili for political gain, kumbuka kwamba wanalipwa vizuri tu kwa kueneza habari za kutunga, wanafikia mpaka hatua ya kuzi hujumu kiuchumi na kijeshi kwa support insurgents and terrorists au ku-incite na ku-fund proxy war vya moja kwa moja - mfano: Ukraine, baadae watajaribu kughiribu Taiwan na Hong Kong ili wa anzishe vurumai na vita ili uongozi wa China upate wakati mgumu kuiongoza Nchi.
 
Hivi mkuu hana habari kwamba Putin alichaguliwa kidemokrasia na Warusi wenyewe kwa kupigiwa kura?? Sasa huu udikteita unao usema kila mara unatoka wapi - mimi sikuelewi kabisa!! Kitu kingine ambacho nataka members wakifahamu ni kwamba Taifa la Urusi sio tena la Kikoministi wanafuata mfumo kidemokrasia na kuna vyama vingi vya upinzani - husisikilize sana habari zinazo enezwa na MSM za magharibi specifically CNN, FoxNews, MSNBC na BBC,SkyNews nk linapo kuja suala la Urusi wanapendelea sana ku-demonize mataifa hayo mawili for political gain, wanafikia hata hatua ya kuya hujumu kiuchumi na kijeshi kwa support insurgents and terrorists au ku-incite MA ki-fund proxy war vya moja kwa moja - mfano Ukraine baadae wata giribu Taiwan na Hong Kong kuanzisha vurumai na vita.
Mkuu naomba nikuulize,samahani lakini.

Kama Urusi ni Taifa la kidemokrasia kama unavyotaka tuamini ni kwanini wale wapinzani wa Putin wanauawa Kwa Sumu au kufungwa jela na si washirika wa Putin?!

Kama Urusi ni Taifa la kidemokrasia NI kwanini Putin kapitisha Sheria Kali kuzuia vyombo vya habari visizungumzie mabaya ya Urusi kwenye vita vya Ukraine?!

Kwanini Urusi imepitisha Sheria ya kufungwa mpaka miaka 15 iwapo Mtu au watu utalisema vibaya jeshi la Urusi au kutoa taarifa zozote mbaya kulihusu kwa kinachoendelea Ukraine?!

Haya hatukuyaona Marekani wakati wa Vita ya Vietnam,wananchi waliruhusiwa kusema mpk maandamano yalifanyika kupinga Ile vita. Huko Urusi tunaambiwa Putin anakubalika Kwa zaidi ya 70% lakini cha ajabu ukimsema vibaya jela,sasa hiyo ndo unaiita demokrasia?!
 
Huyo kgb washampunguza Kwa kifupi Russia sio Iran utafanya ugaidi wa staili hyo huyo utakuta western walishamuingiza kwenye payroll sababu ya ukaribu na Mzee wake iwe rahisi kupenyeza vitu Kwa bint vifike Kwa Mzee ambaye ndio partner wa puttin,mtatafuta sn taarifa za kujifariji Kwa kifupi huyo ameisaliti system huwezi kulipua bomu Moscow.
well said mkuu hakuna inteligence yoyote siyo CIA wala MI6 wenye ubavu wa kufanya kitu kama iko ndani ya jiji la moscow wanajua kitakachowakumba kama wakinaribu kufanya ivyo
 
Hivi mkuu huna habari kwamba Putin alichaguliwa kidemokrasia na Warusi wenyewe kwa kupigiwa kura?? Sasa huu udikteita unao usema kila mara humu unatoka wapi - mimi sikuelewi kabisa!!

Kitu kingine ambacho nataka members wakifahamu ni kwamba Taifa la Urusi sio tena la Kikoministi, wanafuata mfumo wa kidemokrasia na kuna vyama vingi vya upinzani huko Urusi - binafsi nakushauri kwa nia njema tu, kwamba from now on husighiribiwe sana kwa habari zinazo enezwa na MSM za magharibi specifically CNN, FoxNews, MSNBC na BBC,SkyNews nk zichukulie with a pinch of SALT hasa linapo kuja suala/habari kuhusu Urusi au Uchina vyombo vya magharibi upendelea sana ku-demonize mataifa hayo mawili for political gain, kumbuka kwamba wanalipwa vizuri tu kwa kueneza habari za kutunga, wanafikia mpaka hatua ya kuzi hujumu kiuchumi na kijeshi kwa support insurgents and terrorists au ku-incite na ku-fund proxy war vya moja kwa moja - mfano: Ukraine, baadae watajaribu kughiribu Taiwan na Hong Kong ili wa anzishe vurumai na vita ili uongozi wa China upate wakati mgumu kuiongoza Nchi.
Ndugu yangu ulishaona kwenye mfumo wa kidikteta mpinzani anashinda. Kule si ni kma kwa mseveni tu

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Huyo kgb washampunguza Kwa kifupi Russia sio Iran utafanya ugaidi wa staili hyo huyo utakuta western walishamuingiza kwenye payroll sababu ya ukaribu na Mzee wake iwe rahisi kupenyeza vitu Kwa bint vifike Kwa Mzee ambaye ndio partner wa puttin,mtatafuta sn taarifa za kujifariji Kwa kifupi huyo ameisaliti system huwezi kulipua bomu Moscow.

What a brilliant analytical mind!! Unatisha sana mkuu - hata mimi nililifikiria sana hilo, nikawa najiuliza maswali kadhaa ilikuwaje binti kaendesha gari peke yake kurudi nyumbani bila ya kumsubiri baba yake ili warudi pamoja kama walivyo ondoka nyumbani - nani kamchelewesha kimakusudi baba yake ili hasiondoke na bintiye kurudi nyumbani hii inadhilisha kwamba lengo la operation hiyo ni kumuondoa bintiye lakini kunusuru uhai wa Baba yake - hii haiwezi kuwa ni operation iliyo tekelezwa na majasusi wa nje, vitakuwa ni vyombo vya Usalama vya Urusi yenyewe walitaka ku-pre empty kitu bila ya kumwambia baba yake - nakubaliana nawe kwamba binti huyo alisha ingizwa kwenye payroll ya western intelligence agencies wakiwa na lengo la kutaka kumumaliza Putin kwa kumtumia baba yake indirectly, lakini KGB/FSB wakamuwahi.
 
Ndugu yangu ulishaona kwenye mfumo wa kidikteta mpinzani anashinda. Kule si ni kma kwa mseveni tu

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Kama upinzani hauwezi shinda katika nchi za kidikteta ni dhahiri shairi Tanzania pia ni nchi ya kidikteta, so much better ukaanza kuaddress mambo kama hayo Tanzania kabla ya kusema Russia ni nchi ya kidikteta.

Pia kumbuka Putin kachaguliwa kwa kura na ushindani uliojumuisha vyama vingine
 
Mkuu naomba nikuulize,samahani lakini.

Kama Urusi ni Taifa la kidemokrasia kama unavyotaka tuamini ni kwanini wale wapinzani wa Putin wanauawa Kwa Sumu au kufungwa jela na si washirika wa Putin?!

Kama Urusi ni Taifa la kidemokrasia NI kwanini Putin kapitisha Sheria Kali kuzuia vyombo vya habari visizungumzie mabaya ya Urusi kwenye vita vya Ukraine?!

Kwanini Urusi imepitisha Sheria ya kufungwa mpaka miaka 15 iwapo Mtu au watu utalisema vibaya jeshi la Urusi au kutoa taarifa zozote mbaya kulihusu kwa kinachoendelea Ukraine?!

Haya hatukuyaona Marekani wakati wa Vita ya Vietnam,wananchi waliruhusiwa kusema mpk maandamano yalifanyika kupinga Ile vita. Huko Urusi tunaambiwa Putin anakubalika Kwa zaidi ya 70% lakini cha ajabu ukimsema vibaya jela,sasa hiyo ndo unaiita demokrasia?!
Kule Israeli ukizungumza vibaya juu ya jeshi la Ulinzi wa Taifa la Isreal utaumia TU. We'we mzungumzaji ama mwandishi uta be termed Kama mtu aliye kinyume na maslahi ya taifa la Israel.
Hivyo basi Hakuna kipya na nikweleze TU mkuu Uhuru wa kun'gon'ga majeshi yawapo vitani haupo kote duniani kote.
Mwaka 2017 Assange Alifichua uovu wa US vitani Iraq katika 2007. Katika video ile Rubani wa helicopter (Apache) anaamriwa kuua kila mtu aliyepo eneo lile baada ya happo chuma inalia vilivyo.
Zaidi ya 20 wanakufa palepale.
Hili Wamarekani hawakulipenda.liliwaumiza. wakamsakanya Assange popote alipo i'la leo wapo nae.
Je upo Uhuru Hapo wa kuongeaongea?
 
Back
Top Bottom