Mtoto wa ajabu azaliwa Arusha: Ana vichwa viwili, hana Jinsia

kyalankota

JF-Expert Member
Jul 27, 2014
2,560
1,399
Mtoto wa ajabu amezaliwa huko Arusha akiwa na vichwa viwili, hana jinsia ya kike wala ya kiume. Haya ni maajabu kweli.

Source: Wapo Radio.
 
Mhh aisee haya madawa na machemical wanayotumia wake zetu ndio tatizo kubwa na limeshakuwa sugu. Humu ndani ukieelezea Madhala ya vidonge na sindano za Uzazi wa Mpango thread na posts huwa zinafutwa sijajua kwanini?
 
Mwishowe ata nyoka atazaliwa ww kila cku mganga kutoka ngaramtoni cjui anatibu ugumba haya kwann yasitokee?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom