Mtoto VS Katuni

Simple on looking

Senior Member
May 27, 2014
100
34
Wakuu samahani.eti ni kweli kwamba si vizuri kwa watoto kuangalia katuni eti kwa sababu kuna uhusiano hasi na uwezo wao wa kiakili hasa darasani.je kuna mtu yeyote mwenye wazo juu ya hili?.nawasilisha
 
Mhh!!! Hebu wataalam kujeni pande hii maanake wa kwangu wakitoka shule huwa wanavulia nguo sebuleni ili wawahi tom & jerry!!.....
 
Katuni zinakuza imagination.

Imagination = Creativity =Intelligence

Mwaache kijana aangalia hayo makitu
 
Inategemea anaangalia katuni gani, kwa mda gani na uwezo wake wa kupercieve!

Kuna katuni zitamjenga kiakili mfano tom and jerry na katuni zitamuharibu kwa mfano za mazombie and/or zozote zile zenye maadili mabovu!
 
Hasa zile katuni za akina wema, walper, kigosi, jacob nakadhalika ambayo katuni zao kila siku ni mchezo wa baba na mama ni mbaya sana zitamdumaza akili anatakuwa anawaza chini tu.
 
hakuna kitu kibaya kama katuni ulimwenguni
si kweli. Wataalamu wa saikolojia wenyewe wanashauri mtoto atengewe muda fulani wa kuangalia katuni zile za kufunza na kuchekesha. Ila tu ziwe na maadili.
 
si kweli. Wataalamu wa saikolojia wenyewe wanashauri mtoto atengewe muda fulani wa kuangalia katuni zile za kufunza na kuchekesha. Ila tu ziwe na maadili.

katuni ni siri kubwa sana ndungu trust me
 
Back
Top Bottom