Mtoto Neema alipotaka kuzamia meli

Ana matatizo ya akili,sijui ilikuwaje mpaka wakalipa uzito namna hii swala lake.
<br />
<br />
Mkuu usimwone amechanganyikiwa yeye kaona hii nchi siku yoyote itawaka moto ameamua aandae silaha zake kabisa.
 
<br />
<br />
Mkuu usimwone amechanganyikiwa yeye kaona hii nchi siku yoyote itawaka moto ameamua aandae silaha zake kabisa.
Kweli mkuu hapa walipo tufikisha kweli tumechoka lakini si tumeshuhudia mara kadhaa waandamanaji wasio na silaha wala hatia wakipigwa risasi za moto! sasa hebu vikiria ikiwa kila mtu atatafuta silaha zake siwatakuja na vifaru,lakini hakuna kitu kibaya kama mwanadamu akichoka hata ukija na F 16 hawarudi nyuma,mifano hai ipo.Syria na Misri.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom