Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,246
- 33,010
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ingebidi wampeleke kwa Daktari ili ampime huyo mtoto.Ana matatizo ya akili,sijui ilikuwaje mpaka wakalipa uzito namna hii swala lake.
<br />Ana matatizo ya akili,sijui ilikuwaje mpaka wakalipa uzito namna hii swala lake.
Kweli mkuu hapa walipo tufikisha kweli tumechoka lakini si tumeshuhudia mara kadhaa waandamanaji wasio na silaha wala hatia wakipigwa risasi za moto! sasa hebu vikiria ikiwa kila mtu atatafuta silaha zake siwatakuja na vifaru,lakini hakuna kitu kibaya kama mwanadamu akichoka hata ukija na F 16 hawarudi nyuma,mifano hai ipo.Syria na Misri.<br />
<br />
Mkuu usimwone amechanganyikiwa yeye kaona hii nchi siku yoyote itawaka moto ameamua aandae silaha zake kabisa.