GedsellianTz
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 1,348
- 1,803
Mtoto ndio mwajiri wako kwa lugha ya kuwajibika yeye ndiye amekupa kazi na wajibu wa kumtunza na kumuandalia maisha mazuri pamoja na kumuwekea Investment bora il aje kuzisimamia atakapo kuwa mtu mzima.
Siku zinavyozidi kwenda ndivyo elimu yetu inazidi kushuka na kutokuwa bora na isiyo na tija na tatizo la ajira linazidi kuwa kubwa na hata ajira zipatikanazo hazina tija kwa walio wengi,unaweza kuwahi kuzaa mtoto na ukashindwa kumuandalia msingi mzuri wa elimu na malezi bora kwa pamoja na unaweza kuchelewa kuzaa mtoto na ukampa malezi bora na elimu bora and vice versa.
Ni wakati sahihi wa kufanya kila jambo kwa ajili ya future ya watoto zako pamoja na akiba yako ya uzeeni,daima mtoto anayepewa malezi mazuri na elimu bora huwa ni wenye furaha sana sababu kila anachohitaji hupewa na wazazi wake hupata kwa wakati husika. Kuna watoto wenye malezi mazuri na wasio na elimu bora na kuna watoto wenye elimu bora wasio na malezi mazuri.
Kitambo kidogo ilikuwa shule inafunguliwa kesho na mzazi anatafuta ada leo pia tulikuwa tunafukuzwa pesa ya mlinzi Tsh 200 wazazi hawakujiandaa ,kitu tunachotakiwa kufanya sasa ni kuifuata school fees na sio school fees ikufuate nikiwa na maana ukiwa na investement zenye tija ni rahisi kulipa school fees on time ila ukitegemea ajira pekee yake lazima school fees ikufuate na ikikufuata daima unakuwa hauna pesa.
Ni muhimu kuzingatia vitu vya msingi kwa jicho la tatu na kuepukana na mazungumzo ya Naibu speaker wetu sababu hana tija katika ustawi wa maisha yako It is easier to build strong children than to repair broken men.