Mtoto Mwenye Vichwa Viwili Azaliwa China | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto Mwenye Vichwa Viwili Azaliwa China

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kilimasera, May 30, 2011.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mtoto mwenye vichwa viwili amezaliwa nchini China na kuwa gumzo kwenye vyombo vya habari duniani.
  Mtoto huyo alizaliwa katika jimbo la Sichuan akiwa na viungo vyote kamili kama watoto wengine isipokuwa alikuwa na vichwa viwili.

  Kwa mujibu wa shirika la habari la China, mtoto huyo alikuwa na mabega mapana ambapo vichwa viwili vilijitokeza kwenye mabega yake.

  Taarifa zaidi zilisema kuwa mtoto huyo alikuwa na mikono miwili, miguu miwili na viungo vingine vyote kamili.

  Daktari aliyekuwa akiwaangalia watoto hao alisema kuwa ni vigumu sana kwa mtoto huyo kuweza kuishi muda mrefu kutokana na jinsi maumbile yake yalivyoungana.

  Angalia VIDEO ya mtoto huyo chini.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...