Mtoto mwenye umri wa miaka nane, Ryan Kaji ambaye ni mzaliwa wa Marekani ametajwa na jarida la Forbes kuwa ndiye aliyeingiza pesa nyingi zaidi katika

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,321
11,315
Mtoto mwenye umri wa miaka nane, Ryan Kaji ambaye ni mzaliwa wa Marekani ametajwa na jarida la Forbes kuwa ndiye aliyeingiza pesa nyingi zaidi katika mtandao wa YouTube kwa mwaka 2019.

Ryan ambaye anajishughlisha na kuandaa video za katuni mtandaoni, ametajwa kuwa ameingiza kiasi cha dola 26 milioni ambazo ni sawa na Shilingi bilioni 59 katika kipindi cha mwaka 2019 pekee, ikiwa ni kiasi kikubwa cha pesa kuwahi kupatikana kwa mtu mmoja barani Ulaya.

Katika mtandao wa YouTube, Ryan anamiliki chaneli ijulikanayo kama ‘Ryan World’, ambayo ina wafuatiliaji takribani milioni 22.9 na kadri chaneli hiyo inayoendelea kukua ndivyo anavyojiingizia kipato kikubwa.

Ryan alianza kazi hiyo akiwa na umri wa miaka mitano na sasa anatengeneza video mbalimbali za kuelimisha. Ametajwa katika tuzo maalum kwa watoto ambao wanakua kwa kasi katika mtandao, maarufu kama ‘Kids’ Choice Awards for Favorite Social Star’.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika “mtu mzima kabisa mwenye degree” as if mimi nimeleta mada kusapoti hicho kitu.

Jamaa una akili ndogo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Niuzie na hilo begi basi kwa buku 3 ili niweze kwenda kuendelea na masomo ya darasa la 4 maana hao ndio wenye akili ndogo kama zangu dada.
Screenshot_2020-01-29-16-02-20-1.jpeg


dodge
 
Yaani hela zote hizo hata bia anywi, za kazi gani sasa?
 
Back
Top Bottom