Mtoto mmoja kati ya mapacha waliotoka kutenganishwa Saudi Arabia, amefariki dunia

Sa Muhimbili walikuja kumfanyia tena operation ya kazi gani tena? Wanataka kuwasahihisha madaktari bigwa wa Saudia? Dammn shitt....
 
Nikikumbuka lile la majeruhi wa morogoro na hili la mtoto, muhimbili sina hamu
 
"intestinal obstruction" inaua mtoto Tanzania tena Hospitali kuu ya Taifa?!!!!!!!!!!!!, shame doctors & nurses (na mimi nikiwemo), bora kuwa kama Mh. Kigwangala baada ya kuona kule hakufai (njaa sana) akaamua kuwa mwanasiasa!

Kuna tarehe ukiumwa Tanzania lazima utibiwe vibaya na ikibidi umauti unakutana nao, tarehe kama hizi mishahara ya watumishi imeishakata tayari, lol
Pumzika kwa amani mtoto Anisia😭😭😭
 
Waarabu na udoctor wapi na wapi? Hivi kwa nini waliamua kuwapeleka uarabuni?. WAARABU WAZURI KWA KUTENGENEZA MABOMU TU SIO UINJINIA NA UDAKTARI
 
Madoctor Bingwa nchi za Kiarabu ni Wahindi, hata Waarabu wenyewe hawawaamini Madoctor wa Kiarabu....

Sitaki kuuliza kwa nini hawakwenda India.... Yote ni kazi ya Mungu.
Wakienda india ndiyo hawafi au? Wangapi wameenda huko still wamekufa! Je unamjua aliyelipia gharama za matibabu
 
Back
Top Bottom