Mtoto Miaka '14' Sheira inaruhusu Kuajiriwa isipokuwa…. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto Miaka '14' Sheira inaruhusu Kuajiriwa isipokuwa….

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Profesa, Jan 17, 2011.

 1. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Kwa taarifa: Wale wenye hofu ya kuajiri Housegirl na Vijana wa Kazi ILO Convention 138 and 182 zinaruhusu mtoto aliye chini ya miaka 18 kuajiriwa, iwapo tu mazingira ya ajira siyo hatarishi kwa hali yeyote ile kwa mtoto (ikiwemo mshahara unaokidhi mahitaji, mahala salama kiakili, kiafya na kimwili). Mtoto pia katika mazingira ya Kiafrika huhitaji kufanya shughuli ya kujikimu au kusaidia familia yake, inaweza kuwa ya kumpatia kipato au sehemu ya kujifunza.

  Pia Sheria ya Mahusiano Kazini Na. Ya Mwaka 2004 (Samahani hakuna Kiswahili chake) Kifungu cha 4 inasomeka hivi
  ''child'' means a person under the age of 14 years; provided that for the
  employment in hazardous sectors, child means a person under the

  age of 18 years;

  Kifungu cha 5:


  [FONT=TimesNewRoman,Bold][FONT=TimesNewRoman,Bold]5.
  [/FONT][FONT=TimesNewRoman,Bold]
  -(1) No person shall employ a child under the age of fourteen Prohibition


  of


  years. child]

  labour


  (2) A child of fourteen years of age may only be employed to do light


  work, which is not likely to be harmful to the child's health and


  development; and does not prejudice the child's attendance at school,


  participation in vocational orientation or training programmes


  approved by the competent authority or the child's capacity to benefit


  from the instruction received.


  (3) A child under eighteen years of age shall not be employed in a


  mine, factory or as crew on a ship or in any other worksite including


  non-formal settings and agriculture, where work conditions may be


  considered hazardous by the Minister. For the purpose of this


  subsection, ''ship'' includes a vessel of any description used for


  navigation.  (4) No person shall employ a child in employment-


  (a) that is inappropriate for a person of that age;


  (b) that places at risk the child's well-being, education, physical


  or mental health, or spiritual, moral or social development.


  (5) Notwithstanding the provisions of subsection (3), any written


  law regulating the provisions of training may permit a child under the


  age of eighteen to work-


  (a) on board a training ship as part of the child's training;


  (b) in a factory or a mine if that work is part of the child's training.


  (c) in any other worksites on condition that the health, safety


  and morals of the child are fully protected and that the child


  has received or is receiving adequate specific instruction or


  vocational training in the relevant work or activity.


  (6) The Minister shall make regulations-


  (a) to prohibit, or place conditions on the employment of


  children under eighteen years of age;


  (b) to determine the forms of work referred to in sub-section (4)


  of this Act and to make provision for the regular revision


  and updating of the list of hazardous forms of work.


  (7) It is an offence for any person-


  (a) to employ a child in contravention of this section;


  (b) to procure a child for employment in contravention of this


  section.


  (8) In any proceedings under this section, if the age of the child is in


  issue, the burden of proofing that it was reasonable to believe, after


  investigation, that the child was not underage for the purposes of this


  section shall lie on the person employing or procuring the child for

  employment.
  [/FONT][/FONT]
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Thanks professor.
  Sheria ndio kama inavyosema ila ukiangalia kiethics unaona kabisa bila 18 bado mdogo hata kukaajiri ni huruma.
   
 3. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Naafikiana na wewe sana, na ni vema ukiweza usiwaajiri, ila jamii yetu kubwa ya Kiafrika huyu mtoto anahitaji kujikimu na kuweza kupata mahitaji yake ambayo hakuna yeyote atakayempatia... basi hili nadhan i ndilo lililofikiriwa

  Tatizo kubwa ni dhana nzima ya huo mtizamo wa udhaifu unaoonekana kwa nje kwa mtoto but they are often very strong inside, the best way ya kujua hisia za watoto hawa ni kukumbuka katika umri huo ulikuwa katika hali gani na ulihitaji nini,

  Kichekesho watu huwanyanyasa na kuwadhalilisha, kichekesho ni pale ambapo inabidi uende kazini halafu unamwachia nini nyumbani.... mali zako... ukijitahidi sana umefunga chumba chako na kachanga je... ukirudi unamtreat vipi...
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  jamii inahitaji kuelimishwa zaidi juu ya hilo.
  Halafu nasikia kuna sijui org gani wanahusika wafanyakazi wa ndani. Ukimtaka unaenda kumchukua kwao na mishahara yao inapitia kwao.
  Sijajua kama wamezingatia vigezo na masharti maana wafanyakazi wa ndani wengi huwa ni hawa hawa watoto tunaowaongelea.
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hiyo sheria ni nzuri sana, imelenga katika kumjenga mtoto awe mkakamavu mradi haki yake kusoma na kucheza anayo.

  Nadhani hapa kwetu, toka enzi na enzi watoto hufanyishwa kazi bila malipo, mpaka leo utakuta watoto wanachunga mifugo, wanaosha vyombo, wanatumwa majumbani (kwao) licha ya wale minor wanaoajiriwa. Bila malipo.

  Nadhani kwa mtoto, kula, kuvaa, kusoma na kucheza ni haki ya msingi na tutapowanyisha kazi japo za nyumbani za kuosha viombo na kadhalika, tuweke uzoefu wa kuwawekea ka allowance wajue kuwa kazi inalipa, ili kuwahamasisha wasiwe magoigoi.

  Bila kuwazowesha hivyo, kuna athari ya ama wakachukia kazi kwa kuona wanafanya kazi za bure na ikiwa hatuwafanyishi hivyo vikazi vidogo kuna kuwajengea uvivu wa kutokupenda kazi.
   
Loading...