barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,866
Hii imetokea huko Ecuador,tetemeko la ardhi lililoikumba sehemu ya nchi hiyo na kuacha simanzi kwa vifo vya watu wengi na majengo kuharibika
Ajabu ya kweli ni kuwa vikosi vya uokoaji vya nchi hiyo vimefanikiwa kumtoa mtoto mchanga akiwa hai chini ya kifusi.Madaktari wamethibitisha kuwa afya ya mtoto i salama na anaendelea vizuri hata baada ya kukaa chini ya kifusi kwa siku kadhaa.Ama hakika ya Mungu mengi