Mtoto Mbichi wa Waziri Kapuya Aolewa na Dingi!

attachment.php


Muowaji ni yupi na baba ni yupi?
 
Wadau hii imekaaje, mambo ya fweza au?

Ng'ombe hazeeki maini,

Bora mapenzi, huenda vijana walimtenda, kwa nini asijipoze na mtu mzima anayeleewa maana ya mapenzi.

Huo ni uamuzi wake, na hajavunja sheria yoyote.



 
Mbichi huyoooooooooo eeeeeehukiona hivyo kashapitia saizi za madingi vijana kaona only wazee wanaweza kuishi nae so ni uamuzi mzuri kuliko vijana mnakimbizana na mijimama kama mama zenu mnarudi kwa vijana mnajifanya kuoa mnatangaza talaka mwezi mmoja wizi mtupu hongera mama ur a good searching machine
 
WATOTO WA MAMAMDOGO HILO KWAO NI KAWAIDA, KWASABABU WANACHOFUATA NI PESA, SIO MAPENZI, PIA SIO SHIDA KWAO KWASABABU TALAKA INARUHUSIWA WAKATI WOWOTE. so anaweza akawa ameolewa lakini ana mawazo mengine kwaajili ya future yake. talaka tatu....gooooo.
 
anatimiza maagizo ya 'mhammad' hata hivo amechelewa si mbichi kivile,

maana bado hakuna aliyevunja rekodi ya mhammadi,
 
anatimiza maagizo ya 'mhammad' hata hivo amechelewa si mbichi kivile,

maana bado hakuna aliyevunja rekodi ya mhammadi,

hahaha,ni kweli mkuu, hakuna aliyevunja record ya mwamedi, aliyependa watoto wabichiiiiii wenye umri wa miaka tisa hadi kumi na tatu. hivi Aisha alikuwa na miaka mingapi alipoolewa na mwamedi? na mwamedi alikuwa na wake wangapi vile?...watoto wa mamamdogo wana kazii kweli kweli.
 
Back
Top Bottom