Mtoto Mbichi wa Waziri Kapuya Aolewa na Dingi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto Mbichi wa Waziri Kapuya Aolewa na Dingi!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Boflo, Mar 11, 2010.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2010
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wadau hii imekaaje, mambo ya fweza au?
   

  Attached Files:

 2. Saikosisi

  Saikosisi JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2010
  Joined: May 4, 2007
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mtoto mbichi ana umri gani, na dingi ana umri gani? una wivu wewe!
   
 3. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
 4. IronBroom

  IronBroom JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2010
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 524
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ulitaka uolewe wewe uliyeiva?And if ni mambo ya fweza then what?Peleka huko aaah.
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Mkuu MOD hii ipo kwenye Jamii Photo ipeleke kule kwenye Jamii Photo please hapa inajaza Server.
   
 6. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2010
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kuna watu wachokozi humu...eti mtoto mbichiii....
   
 7. T

  Tall JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Kipi bora kuolewa au kupiga uhuni? bora kapata mume.
   
 8. JS

  JS JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kwani kuna shida gani kuolewa na dingi??? kinachomatter ni mapenzi na makubaliano Bwabwa. Na fedha haihusiki hapo kabisa. au ulitaka kumuoa wewe ukajikuta umechelewa???????????????
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wanasema ng'ombe hazeeki maini,
  Bode tu la mwili linazeeka lakini mapigo kama kawa mwanzo mwisho.
   
 10. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #10
  Mar 11, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mzee wa ma'experience kama kawaida yako.
  Haya mkuu.
   
 11. Kabuche1977

  Kabuche1977 JF-Expert Member

  #11
  Mar 11, 2010
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ametoa wazo tu jamani, wala hajasema ana wivu au chuki, ni wazo lake, labda na wewe ungekuwa nalo vile vile kwa njia nyingine , so tuchangie na cio tuone jamaa aliyeleta maada kachoka kifikra


  lakini mimi naona huyu mdada kakomaa na cio mbichi, au kama kuna maana nyingine ya ubichi then nitakubali------ubichi===ubikra??????
   
 12. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #12
  Mar 11, 2010
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,064
  Trophy Points: 280
  Is this news?????????
   
 13. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #13
  Mar 11, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,016
  Trophy Points: 280
  Ubichi wake uko wapi?
   
 14. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #14
  Mar 11, 2010
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kila la kheri maharusi
   
 15. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #15
  Mar 11, 2010
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,446
  Likes Received: 587
  Trophy Points: 280
  wacha wivu weweee acha m2 mzima afaidi damu moto
   
 16. k

  kingwipa1 JF-Expert Member

  #16
  Mar 11, 2010
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Huyo si m2 mzima ni kijana kabisa wa miaka 24 ila mtindo ake wa maisha ndo unamzeesha. Na hayo mavazi ni ya kizee sijui kwa nini hawa jamaa zangu wanayfagilia. Ni kwa nini hawaangalii kwa mama mkubwa!!!
   
 17. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #17
  Mar 11, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  sio mtoto wa waziri kapuya huyo ni mtoto wa ndugu yake.na pia umri sio kigezo kama wamependana ndio wao wenyewe wawili wata dili na ndoa yao.
   
 18. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #18
  Mar 11, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  She's cute!
   
 19. R

  RAJABUHIJJA Member

  #19
  Mar 11, 2010
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 8
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Penzi halichagui mahari,usije kuta mzee ndo anayaweza mambo kuliko kijana.
   
 20. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #20
  Mar 11, 2010
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Baeleze ndugu yangu...tena hao ndo wataaaaamuuu kweli kweli na utulivu ulijaa na busara. Sio kama hivi vi brother men visivyojua kujali. Hata kama hana pesa pao tuu, watatafuta mbele ya safari yao. Kinachotakiwa vijana wakiume muwape vijana wakike ni utulivu wa moyo. Sio presha za hapa na pale. Khah! ndo mjifunzege sasa.
   
Loading...