Mtoto kuwa na kichwa kikubwa

ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,904
6,904
wana JF salam.

naombeni kujua, ni sababu zipi ambazo hupelekea mtoto anazaliwa akiwa kawaida lkn kadri anavyokuwa, kichwa pia kinakuwa kikubwa hadi kuwa mzigo mzito kwa mtoto na wazazi.

na ni namna gani ya kuepuka tatizo hilo?
 
huu ugonjwa unaitwa spina bifida ni ukosefu wa madini ya chuma....kula maini sana na dagaa vile vile kuna dawa ambazo zinaongeza haya madini mama mjauzito anatakiwa kutumia kabla na wakati wa mimba. Spina bifida - Wikipedia, the free encyclopedia

kuna mtoto kazaliwa akiwa amepondeka sehem ya kichwa karibu na utosi, wengi wanao mwona wanasema ni mchango mkali sana na asipotibiwa mchango huo utapelekea kuwa na kichwa kikubwa.

usukumani wanaita mchango na buha wanaita ikinyamtwe!!!!
 
Spina bifida (Latin : "split spine") is a
developmental congenital disorder caused by
the incomplete closing of the embryonic neural
tube . Some vertebrae overlying the spinal cord
are not fully formed and remain unfused and
open. If the opening is large enough, this allows
a portion of the spinal cord to protrude through
the opening in the bones. There may or may
not be a fluid-filled sac surrounding the spinal
cord. Other neural tube defects include
anencephaly , a condition in which the portion of
the neural tube that will become the cerebrum
does not close, and encephalocele , which
results when other parts of the brain remain
unfused.
Spina bifida malformations fall into three
categories: spina bifida occulta, spina bifida
cystica with meningocele, and spina bifida
cystica with myelomeningocele. The most
common location of the malformations is the
lumbar and sacral areas. Myelomeningocele is
the most significant and common form, and this
leads to disability in most affected individuals.
The terms spina bifida and myelomeningocele
are usually used interchangeably.
Spina bifida can be surgically closed after birth,
but this does not restore normal function to the
affected part of the spinal cord. Intrauterine
surgery for spina bifida has also been
performed, and the safety and efficacy of this
procedure are currently being investigated. A
study conducted with mothers who had prior
spina bifida births indicates the incidence of
spina bifida can be decreased by up to 70%
when the mother takes daily folic acid
supplements prior to conception.
Spina bifida meningocele and
myelomeningocele are among the most
common birth defects, with a worldwide
incidence of about 1 in every 1000 births. The
occulta form is much more common, but only
rarely causes neurological symptoms.

NAONA KAMA NI ATHARI ZA UTI WA MGONGO!!™
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom