Mtoto kujikusanya sehemu moja

jipu kuu

Member
Dec 25, 2015
29
20
Poleni na majuku wakuu,niende moja kwa moja kwenye mada nina mke ambaye anaujauzito Wa miezi mitano na siku kadhaa ila shida mtoto anacheza sana na mke wangu ananiambia akicheke mtoto anajikusanya sehemu moja nna wasi wasi naombeni msaada Wa mawazo kuhusu hili .natanguliza shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watoto huwa wanastushwa na vitu kama mziki, chakula, nk
Mke wako aweke kumbukumbu mtoto alicheza baada ya yeye kula nini? Kusikia mziki gani?
Itamsaidika akitaka kuwasiliana na mtoto.
 
Watoto huwa wanastushwa na vitu kama mziki, chakula, nk
Mke wako aweke kumbukumbu mtoto alicheza baada ya yeye kula nini? Kusikia mziki gani?
Itamsaidika akitaka kuwasiliana na mtoto.
Anadai akila kitu chochote anacheza na akilala akiangalia juu au kichalichali ndo anacheza zaidi na Leo analikua anaongea akacheka kidogo akasikia amekimbilia upande mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom