Mtoto kuharisha na kutapika

Sep 4, 2016
62
41
Wakuu habarini za usiku!
Wanajukwaa naombeni msaada wenu, nina mtoto wa miei 9 ila siku ya leo amekuwa na matatizo ya kutapika na kuharisha na joto la mwili limekuwa la kawaida tu.

Alhamisi amemaliza dozi ya quinine (kwinini) na amoxilin kwa ajili ya UTI. Ana kijino kimoja ndo kinachomoka naombeni msaada wenu wenye idea
 
Mpeleke hospitali haraka na usiache kumpa maji hata akiyatapika mpe tena
 
Sure wahi hospital haraka sana hizo ni emergency signs usisubiri kesho.
Wakuu habarini za usiku!
Wanajukwaa naombeni msaada wenu, nina mtoto wa miei 9 ila siku ya leo amekuwa na matatizo ya kutapika na kuharisha na joto la mwili limekuwa la kawaida tu. Alhamisi amemaliza dozi ya quinine (kwinini) na amoxilin kwa ajili ya UTI. Ana kijino kimoja ndo kinachomoka.
Naombeni msaada wenu wenye idea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habarini za usiku!
Wanajukwaa naombeni msaada wenu, nina mtoto wa miei 9 ila siku ya leo amekuwa na matatizo ya kutapika na kuharisha na joto la mwili limekuwa la kawaida tu. Alhamisi amemaliza dozi ya quinine (kwinini) na amoxilin kwa ajili ya UTI. Ana kijino kimoja ndo kinachomoka.
Naombeni msaada wenu wenye idea.

Ni vema umpe ors au oro au mchanganyie sukari na chumvi mpatie
Na mpeleke hospitali haraka uwezavyo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom