Mtoto kuchelewa kutembea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto kuchelewa kutembea

Discussion in 'JF Doctor' started by zaka, Apr 19, 2012.

 1. z

  zaka Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asalaam ndgu wanajamvi,
  nina mwanangu sasa anaelekea kufikisha miaka miwili lakini hajaanza kutambaa wala kutembea, lakini yuko
  active sana miguuni na mikononi... kulikoni jamani?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Sifahamu jinsia yako lakini Kuna hatari umembemenda huyo mtoto!
   
 3. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  mmmmmmmmm
   
 4. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,966
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  hebu mpeleke hospitalini ila angalia namna ya maisha yako. isije ikawa mtoto muda wote kafungiwa mgongoni na dada yake, hawekwi chini kucheza kama watoto wengine kisa unaogopa uchafu. au pia mtoto hana exposure kwa wenzie. lakini dietwise angalia kama ana anapata mlo wenye calcium vizuri.

  mazoezi- mtoe nje kila jua linapochomoza kisha ukiwa na mafuta masaji miguu yake huku ukiwa unainyoosha ili kuiimarisha.

  pia mnunulie kigari cha mbao cha matairi 3 kifunge jiwe ili kukitia uzito kisije kikamwangusha. jitahdi sana na mazoezi
   
 5. z

  zaka Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  shukran...
   
 6. Snipper

  Snipper JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2014
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 775
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 80
  Asante sana gfsonwin kwa ushauri uliompatia jamaa hapo. Hata mimi mwanangu anafikisha sasa mwaka na wala haonyeshi mpango wa kutambaa achilia kutembea na ni wa kike...tumechanganyikiwa kiasi maana wenzake wenye umri sawa na wake sasa wanakaribia kutembea.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. m

  majeshi 1981 JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2015
  Joined: Dec 7, 2013
  Messages: 1,766
  Likes Received: 207
  Trophy Points: 160
  hata mimi mwanangu wa kwanza nimekonda nimebakia mifupa tu, hajatembea bado hadi watoto wa nyuma yake tayari
   
Loading...