mtoto kicheche, anafeli na muhuni. shule gani itamfaa?

Somoe

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
754
282
Hi, jamani, naombeni msaada wenu wa mawazo. Nina somesha mtoto wa dada angu, shule ya secondary, mama yake alisha fariki na baba ake katiwa ndani, kafungwa kiufupi. Huyu mtoto sasa amenichanga. Jana mama kanipigia sim na kaniambia huyu mtoto anarudi home saa sita za usiku, kila siku sasa. Na anamtukana bibi yake na kugombana nae, hawaelewani. Wiki iliopita kuna kijana alikuja na kisu kwa mama na kumulizia huyu mtoto na kudai anataka kupiga mapanga huyo mtoto akimuona. Out out kaendekeza, masomo anafeli na anamarafiki wasio eleweka, mama kashamshinda. Sasa mie nataka aende kusoma nje ya dar, akienda kijijini labda huko atatulia na atasoma vizuri. Lakini sasa mie sijui shule nzuri huko mikoani, je kuna mtu yeyote ambae atanisaidia kunielekeza shule mzuri jamani, asanteni maana nimechanganyikiwa hata sijui la kufanya.
 
Kama ni wa kike kuna shule nzuri sana ipo mitaa ya kinondoni makaburini,nyingine zipo Manzese kwa mfuga mbwa,kws macheni na mitaa ya buguruni hizi zote zinatoa kozi ya ukahaba.
 
Mpeleke Boarding ya Geti kali na mkabidhi kwa mwalimu amchape kama atakavyo,
 
Pole, jaribu kuongea naye na kumshauri may be anafanya hivyo kwa sababu ya yaliyowapata wazazi wake; give her second chance kwa upendo na upole, labda you may win her back. Otherwise, she will have to learn a hard way
 
Hapo kuna sex knowledge gap. Miaka hii teens wana kuwa exposed na ambo mengi lakini watu wa ku waguide nao wanakuwa kimya kwa kigezo cha maaadili
NBC News and PEOPLE Magazine commissioned a landmark poll surveying young teenagers about their intimate sexual attitudes and practices. In one of the first surveys of its kind, teenagers as young as 13 reveal how much they know about sex and how much they are doing.

The poll, conducted by Princeton Survey Research Associates International, questioned 13 to 16 year-olds about their sexual behavior, relationships, oral sex, STDs, and casual sexual partners (what's now known as "friends with benefits").

The findings provide important answers for parents struggling to cope with a newly promiscuous world. Below are the enlightening, and often surprising, answers to the NBC News/PEOPLE Magazine Poll:

Sexually active young teens
Nearly 3 in 10 (27%) thirteen to sixteen year-olds are sexually active and "have been with someone in an intimate or sexual way." Most of these sexually active teens have touched someone else's genitals and almost half had oral sex and/or had sexual intercourse. Sexual activity is much more common among 15 to 16 year-olds (41%) than 13 to 14 year-olds (14%).

Most 13 to 16-year-olds waiting to have sex
The vast majority (87%) of teens aged 13 to 16, have not had sexual intercourse. Most (73%) have not been sexually intimate at all. Seventy-four percent say they have not had sex because they made a conscious decision not to. As many (75%) have not because they believe they are too young. Many say they abstain because they fear the potential consequences-pregnancy (74%), STDs (71%), parents' reaction (65%). While just more than half say it is because they haven't met the right person yet (54%), few say it is because of a lack of opportunity (21%). Four in 10 (42%) say they have not because of religious or moral beliefs.
SUMMARY TABLE: Why are teens waiting to have sex?
Girls are more likely than boys to cite a conscious decision to wait (81% vs. 67%), belief they are too young (82% vs. 67%), fear of pregnancy (77% vs. 71%), STDs (75% vs. 68%), or parents or (71% vs. 59%) friends' reaction (28% vs. 13%).

Fifteen to 16 year-olds are more likely than 13 to 14 year-olds to say they have not had sex because they have not met the right person (62% vs. 47%). Thirteen to 14 year-olds are more likely to say it is because they think they are too young (82% vs. 66%).
Teens with a Catholic parent (72%) are more likely to not have had sex because they are worried what their parents will think than those with a Protestant parent (63%) or another religious background (57%).
Those whose parents are better educated are more likely to say they have not had intercourse because of their religious or moral beliefs and less likely to say they have not out of a fear of catching an STD.
Nearly 3 in 10 young teens 'sexually active' - msnbc.com

Kwa hiyo siyo kwamba ni kichehe ni kwamba
- yuko sexually active na ana marafiki wasiokuwa wazuri au amabo na wenywewe wako sexually active
- Hakuna mtu mzazi au ndugu wa kuwapa taarifa sahihi za mabadiliko yanayoendana na miili yo na jinsi ya kuyakabili

Kumpeleka kijijini au shule ya mbali haitasaidia. kwanz muelimishe au mpeleke kwa shangazi yake likizo au kwa mama yake mdogo au mkubwa wampe somo.
 
Pole mkuu. Naijua sana adha ya kuwa na mtoto wa aina hiyo. Jaribu kutafuta shule za boarding za watoto wa kike. More likely kutakuwa na monitoring nzuri. Kama ukibahatisha ya private nafikiri ndo itakuwa nzuri zaidi kwake. Sina uhakika shule gani inaweza kumfaa kwa sasa, but ushauri wangu ni kwamba fikiria juu ya shule ya boarding kokote Tanzania.
 
Kama ni wa kike kuna shule nzuri sana ipo mitaa ya kinondoni makaburini,nyingine zipo Manzese kwa mfuga mbwa,kws macheni na mitaa ya buguruni hizi zote zinatoa kozi ya ukahaba.

Aisee!!! :hungry:
 
Mpeleke Boarding ya Geti kali na mkabidhi kwa mwalimu amchape kama atakavyo,

Mmmh! amchape na nini mkuu, specify pls, manake ukimwambia mwl wa kiume amchape atakavyo anaweza kuelewa tofauti akaishia kumchapa "with a living stick!"
 
Msisahau boarding nyigine ndo soruce ya Ushoga na Usagaji. Dawa ni kuwafudisha watoto hasa wa kike kujitambua kabla haijawa too late.
 
da kuna shule nzuri sana kule mby ikiwemo swilla sec school iliyopo mbalizi mby,kwa huyo mtoto itamfaa sana.bt mwambie kuwa hiyo ni last chance akichezea ndo basi nadhani atakuelewa.lakini pia ndio watoto wenye umri kati ya miaka(13-19) wanapenda ngono sana bt pia hata ww unamakosa kwanini umpeleke akae kwa bibi yake na si ww? bibi umri umekwenda sana so jaribu kukaa nae huyo binti umeleze hali halisi ya dunia ya sasa kwani pia inawezekana kabisa hujawahi kumweleza mkiwa mmetuli kwahiyo zingatia hilo
 
mpelekee boarding school ambayo haiko mjini kama na huko akishindwa mpe ruhusa aende Q-bar na mitaa ya kinondoni jirani na makaburini kiu yake iishe
 
Mkuu nimewahi kupata ona kesi kama yako, ilifikia stage swala la kuongeanae ni kama kumpigia mbuzi gitaa, swala zima liliisha baada ya kumpeleka lwandai sec school huko milimani Tanga. Nishule ya kanisa la kkkt ina walimu wataalamu wanao deal na situation kama hizo,
kama ameshindikana kabisa check na hiyo shule kwani si kila boarding ni nzuri kwa watoto
 
:redfaces:
Kama ni wa kike kuna shule nzuri sana ipo mitaa ya kinondoni makaburini,nyingine zipo Manzese kwa mfuga mbwa,kws macheni na mitaa ya buguruni hizi zote zinatoa kozi ya ukahaba.

Sijaifurahia ushauri wako:redfaces:
 
Kule MBEYA kuna shule ya watoto watukukutu! Huko aikienda atanyooka mwenyewe
 
Hi, jamani, naombeni msaada wenu wa mawazo. Nina somesha mtoto wa dada angu, shule ya secondary, mama yake alisha fariki na baba ake katiwa ndani, kafungwa kiufupi. Huyu mtoto sasa amenichanga. Jana mama kanipigia sim na kaniambia huyu mtoto anarudi home saa sita za usiku, kila siku sasa. Na anamtukana bibi yake na kugombana nae, hawaelewani. Wiki iliopita kuna kijana alikuja na kisu kwa mama na kumulizia huyu mtoto na kudai anataka kupiga mapanga huyo mtoto akimuona. Out out kaendekeza, masomo anafeli na anamarafiki wasio eleweka, mama kashamshinda. Sasa mie nataka aende kusoma nje ya dar, akienda kijijini labda huko atatulia na atasoma vizuri. Lakini sasa mie sijui shule nzuri huko mikoani, je kuna mtu yeyote ambae atanisaidia kunielekeza shule mzuri jamani, asanteni maana nimechanganyikiwa hata sijui la kufanya.

Ndugu somoe!
Kwanza hiyo heading ya thread yako inanipa picha ya jinsi gani ndugu (na wazazi) wanavyoweza kuchangia katika Tabia ya mtoto! Sijajua background ya wazazi, wewe nadhani utakuwa unaijua vizuri. Lakn kwa ujumla mnaonekana ni watu wa kukwepa majukumu na kulaumu (mtoto wa dada yako ni wako-mimi pia nimelelewa na mjomba). Hauwezi kumwita mwanao MALAYA, KICHECHE, MHUNI na majina mengine yasiyofaa, kama nawe si MHUNI au FATAKI flani (Samahani kama nitakuudhi-nia ni kujenga)!

Picha ya harakaharaka tu inaonesha kuwa binti yenu keshapotea, na ninyi ndy haswaa mmechangia upotevu huo. Na wewe unaonesha dhahiri kuwa "AMEKUSHINDA" au unajivua majukumu uliyoachiwa na dada yako. Napenda nikufahamishe tu kuwa, kumsukumia mtu mwingine (mwalimu) jukumu lako si sulluhisho la tatizo, na mtoto ataonakama umemkomoa-hvyo usishangae kuibuka matatizo makubwa zaidi! Unachotakiwa kufanya basi ni kum-befriend na kuongea naye ili kujua matatizo yake, hili si jambo la siku moja na wala si jambo la kumkalipia! Mfanyie councelling, ukishahakikisha amerelax ndy unaweza kumbadilishia mazingira kwa kumpeleka shule yenye maadili na waalimu wenye upendo! amini nakwambia-ATABADILIKA NA atakushukuru BAADAYE!

Nimeshaona mfano kwa mmoja, mtoto aliacha shule Form Two, akawa hashikiki, akazaa na kuolewa kisha kuachika mala kadhaa! Wazazi wale wakampiga marukuku kukanyaga nyumbani kwao, jirani yao mmoja akamhurumia na kumchukua, akaishi naye mwaka mzima kwa uvumilivu na upendo mkubwa (Mungu ambariki yule mama na familia yake), binti akabadirika taratibu, akajiunga na elimu ya watu wazima, hv navyoandika hapa huyo binti ni "MWALIMU" anajitegemea na analea mtoto wake kwa furaha, akikusimulia mwenyewe Utalia.

Tupendane jaman!
 
Hi, jamani, naombeni msaada wenu wa mawazo. Nina somesha mtoto wa dada angu, shule ya secondary, mama yake alisha fariki na baba ake katiwa ndani, kafungwa kiufupi. Huyu mtoto sasa amenichanga. Jana mama kanipigia sim na kaniambia huyu mtoto anarudi home saa sita za usiku, kila siku sasa. Na anamtukana bibi yake na kugombana nae, hawaelewani. Wiki iliopita kuna kijana alikuja na kisu kwa mama na kumulizia huyu mtoto na kudai anataka kupiga mapanga huyo mtoto akimuona. Out out kaendekeza, masomo anafeli na anamarafiki wasio eleweka, mama kashamshinda. Sasa mie nataka aende kusoma nje ya dar, akienda kijijini labda huko atatulia na atasoma vizuri. Lakini sasa mie sijui shule nzuri huko mikoani, je kuna mtu yeyote ambae atanisaidia kunielekeza shule mzuri jamani, asanteni maana nimechanganyikiwa hata sijui la kufanya.
Yuko gvt au private na yuko kidato gani
 
Pole sana ndugu, sikushauri umpeleke boarding school hata kidogo. Kama mtoto amekushinda wewe mwenzio atamuweza? Anaweza kwenda kuibuka na tabia mpya za ajabu zaidi. Inawezekana hayo anayoyafanya kwa sasa ni madogo kutokana na uwepo wenu wa karibu. Vipi kama mtakuwa mbali nae?

Nakushauri umtulize nyumbani kwa mwaka mzima huku ukimpa ushauri, ukimwonesha upendo na kuiset akili yake kishuleshule, mpe mahitaji yake ya muhimu kama binti ila usimpe uhuru wa kuzurula pia umpangie kazi za kufanya hapo home.

mnunulie vitabu vile vya kisaikolojia vinavyoelezea namna ya kufanikiwa katika maisha au hata novels ili mradi umjengee tabia ya kujisomea katika kipindi hicho cha mapumziko.

Mpe uhuru wa kuchagua shule anayotaka kusoma ila iwe ya karibu ili uweze kuona maendeleo yake kila siku.
 
Hi, jamani, naombeni msaada wenu wa mawazo. Nina somesha mtoto wa dada angu, shule ya secondary, mama yake alisha fariki na baba ake katiwa ndani, kafungwa kiufupi. Huyu mtoto sasa amenichanga. Jana mama kanipigia sim na kaniambia huyu mtoto anarudi home saa sita za usiku, kila siku sasa. Na anamtukana bibi yake na kugombana nae, hawaelewani. Wiki iliopita kuna kijana alikuja na kisu kwa mama na kumulizia huyu mtoto na kudai anataka kupiga mapanga huyo mtoto akimuona. Out out kaendekeza, masomo anafeli na anamarafiki wasio eleweka, mama kashamshinda. Sasa mie nataka aende kusoma nje ya dar, akienda kijijini labda huko atatulia na atasoma vizuri. Lakini sasa mie sijui shule nzuri huko mikoani, je kuna mtu yeyote ambae atanisaidia kunielekeza shule mzuri jamani, asanteni maana nimechanganyikiwa hata sijui la kufanya.

Ukipga....utaua au utampa kilema ..... mweke chini muulize anataka nini...kuolewa...kusoma.... au kufanya kitu gani... msaidie kwa hilo..!!
 
Back
Top Bottom