Mtoto kazaa mtoto

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
3,907
6,700
Mwanadamu anayeshikilia record ya kuzaa akiwa na umri mdogo ni Lina Medina.

Alizaa akiwa na miaka mitano na miezi saba

FB_IMG_1625777154095.jpg
 
🤣 what is the fix..?
The fix is the 5 years old to mingomingo and get pregnant and then baby get baby! Tuachane na hayo baba mtoto yuko wapi...?
 
Kuna movie flani inaitwa 'the orphan' ni mtu mzima wa miaka 30+ alikuwa na ugonjwa unaomfanya aonekane kama ana miaka 15-
Ntatuma jopo langu la madaktari kumchunguza huyo mtoto aliyezaa kwa umri huo
 
Daljinder Kaur, who's believed to be at least 70 years old, gave birth to a son named Arman (meaning "wish" in Hindi) on April 19. The baby was the first for Kaur and her 79-year-old husband, Mohinder Singh Gill, after nearly five decades of marriage.
gettyimages-530472990.jpg
 
Na vipi Yule nabii Mzee mwenye Rekord ya kuoa mtoto Mdogo kuliko wote...nayeye et alikuwa huko huko Medina
Nabii Mkware, halafu alikuwa na wake kibao, ila anataka wwnzake waoe wanne tu
 
Kwahyo alipata mimba akiwa na miaka minne.
Duh! Wewe jamaa ni muongo sana.
 
Back
Top Bottom