Mtoto huyu sio wa kwangu mimi Masqo.

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,334
Mtoto anayeonekana kwenye video ya wimbo wangu wa "usiunyanyapae moyo wangu" sio mtoto wangu ni mtoto wa prodyuza moses, shahidi yangu q-chillah.

Siku nilipokuwa na fanya video ya wimbo wangu pia siku hiyo Q-Chillah naye alikuwa nafanya video ya wimbo alioshirikishwa na wote tulikuwa na Prodyuza Mmoja Bw.Moses mwaka 2005 pale Kariakoo.

Bw.Mosee alimpa Q-chillah huyo mtoto akawa anaimba huku amembeba na ndivyo ilivyoonekana kwenye video yao, kwangu alimuweka chini na akamuchukua kamera na kumuweka kama utangulizi na ndivyo inavyooneka kwenye video yangu. Nasikitika kuwa watu wengi walifikiri ni mtoto wangu bali ni mtoto wa Prodyuza wangu Moses na sijui chochote kuhusu huyo mtoto sisi kazi yetu ilikuwa ni shooting tu. Ni mimi Deogratius Kisandu, jina la Kisanii "MASQO". Natoa taarifa rasmi.
 
''Bw.Mosee alimpa Q-chillah huyo mtoto akawa anaimba huku amembeba na ndivyo ilivyoonekana kwenye video yao, kwangu alimuweka chini na akamuchukua kamera na kumuweka kama utangulizi na ndivyo inavyooneka kwenye video yangu. Nasikitika kuwa watu wengi walifikiri ni mtoto wangu bali ni mtoto wa Prodyuza wangu Moses na sijui chochote kuhusu huyo mtoto sisi kazi yetu ilikuwa ni shooting tu. Ni mimi Deogratius Kisandu, jina la Kisanii "MASQO". Natoa taarifa rasmi.''
 
Deo Kisandu umekuja na ID mpya.??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom