Mtoto huyu anatafuta kazi yoyote halali

Prince M Mwakyusa

JF-Expert Member
Jul 2, 2015
374
184
Ana umri wa Miaka 17 hana wazazi ( yatima) toka mwezi wa 1 mwaka huu hajaenda shule mwaka huu alitakiwa awe kidato cha3 in short shule imemshinda kwa sababu zifuatazo..
1,Hana uwezo wa kujikimu kama chakula, sare za shule nk
2,hana usimamizi mzuri wa MTU mzima kumsimamia katika maswala yake na hata ya shule ukiangalia ki umri ni bado
mdogo

sasa juzi Dogo kaanza kupita nyumba kwa nyumba akiomba asaidiwe kupata Kazi yoyote halali

Wana JF kwa mtu anae hitaji kijana kwa Kazi yyte au atakaeguswa kumsaidia namba yake hii 0767541566 kwa maswali yyte muulizeni atawajibu
 
Wewe umemsaidiaje?mbona kwa Tanzania hali kama yake niyakawaida!!!nadhani kwa utaratibu wa elimu bure sasa inatakiwa uangaliwe utaratibu wa watoto kama hao warudi shule.
 
Huyo ndugu hapo amesha saidia kwa kufikisha taarifa hizi jukwaani, na amefafanua kuwa ameshindwa kusoma sababu hana usimamizi, sasa hata kam elimu bure vp kuhusu huduma nyingine, ndugu unaelewa maana ya kusoma?
 
Yupo tayari kufanya kazi za kulea mtoto huku akisoma jioni ,ili baadaye afanyeitihani ya firm 4 , nipo Dar ,na nauliza swali kwa dhati! Kumbuka nimesema yupo tayari nikimaanisha !
Mtoto haruhusiwi kuajiriwa, kumwajiri mtoto ni kosa la jinai!..... Mtoto anatakiwa kusaidiwa na mimi, wewe, yule na jamii nzima, right?
 
Kwanza kabisa aanzie kwa mwenyekiti wa serikali yake ya mtaa, hapo kuna afisa mtendaji ambae atahakikisha matatizo yake yanatatuliwa mara moja.

Akisha onana na mwenyekiti na mtendaji wake wa mtaa kwa majibu yoyote atayopata utuletee / atuletee mrejesho.

Utaporudi hapa kwa mrejesho hakikisha unakuja na jina kamili la huyo kijana, jina kamili la mtaa, kata, kijiji, wilaya alipo. Jina kamili la mwenyekiti na mtendaji wake pamoja na anuani zao za barua pepe na namba zao za simu.

Tuanzie hapo.
 
HONGERA BIBIE SIKUMBUKI NILIONA LINI MCHANGO WAKO BILA KUHUSISHA CHADEMA,LOWASA AU UKRISTO,LEO KULA TANO ,AU NIKULETEE HALUA!
Kwanza kabisa aanzie kwa mwenyekiti wa serikali yake ya mtaa, hapo kuna afisa mtendaji ambae atahakikisha matatizo yake yanatatuliwa mara moja.

Akisha onana na mwenyekiti na mtendaji wake wa mtaa kwa majibu yoyote atayopata utuletee / atuletee mrejesho.

Utaporudi hapa kwa mrejesho hakikisha unakuja na jina kamili la huyo kijana, jina kamili la mtaa, kata, kijiji, wilaya alipo. Jina kamili la mwenyekiti na mtendaji wake pamoja na anuani zao za barua pepe na namba zao za simu.

Tuanzie hapo.
 
Huyo ndugu hapo amesha saidia kwa kufikisha taarifa hizi jukwaani, na amefafanua kuwa ameshindwa kusoma sababu hana usimamizi, sasa hata kam elimu bure vp kuhusu huduma nyingine, ndugu unaelewa maana ya kusoma?
nashukuru kwa uelewa wako MKUU Ubarikiwe maana naonekana Mimi tena n mkosaji ila roho imeniuma ndomana nililileta swala hili hapa
 
Huyo ndugu hapo amesha saidia kwa kufikisha taarifa hizi jukwaani, na amefafanua kuwa ameshindwa kusoma sababu hana usimamizi, sasa hata kam elimu bure vp kuhusu huduma nyingine, ndugu unaelewa maana ya kusoma?
Nashukuru kwa Uelewa wako Ubarikiwe maana naoekana Mimi tena mkosaji Mtoto anateseka
 
Yupo tayari kufanya kazi za kulea mtoto huku akisoma jioni ,ili baadaye afanyeitihani ya firm 4 , nipo Dar ,na nauliza swali kwa dhati! Kumbuka nimesema yupo tayari nikimaanisha !
Jaribu kuongea nae kwa hyo namba au ntamtafuta afuu nikuletee mrejesho
 
Mtoto haruhusiwi kuajiriwa, kumwajiri mtoto ni kosa la jinai!..... Mtoto anatakiwa kusaidiwa na mimi, wewe, yule na jamii nzima, right?
Mimi nawewe tufanyeje ili kumsaidia tatizo ndo hili mezani ili kumuepusha asijiingize kwnye matendo mabaya
 
Pole kwa kuguswa na hili, huyu mtoto ameishia lini kidato cha 3, na shule ipi alikuwa anasoma ya binafsi au hizi za kata....iko wapi.... hivi sikumbuk kama umesema jinsia yake....
Jinsia n mwanaume, shule n yakata amekatisha masomo yake mwaka huu toka uanze ina maana angekuwa kidato cha 3 mwaka huu kama angeendlea na masomo
 
ok prince mwakyusa.....!! noted. nitamuoj kwa simu...utamtafuta akupe sim ya baba wawili pia nitakua na maswali kadhaa kwako kulingana na majib yake. asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom