shikulaushinye
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 828
- 456
Wakuu,
Kwa muda mrefu kijana ambaye hana kinga ya kushitakiwa amekuwa akizua mijadala mbalimbali japo sina uhakika kama kweli kila yanayoandikwa ni ukweli maana tuhuma ni nyingi sana.
Mara ndiyo mmiliki ya kampuni ya mabasi ya UDA ambayo itaendesha mradi wa DART, wengine wanasema ana hisa katika kampuni za mafuta, kwa kifupi yanayosemwa ni mengi nasikia huyo mtoto ni tajiri sana kwa sasa. Kuondoa mzizi wa fitina kuna haja ya kumshtaki badala ya kusema tu kwani hana kinga.
Lakini pia naomba wadau mnijuze, hivi ukiwa mtoto wa mkubwa ni dhambi kufanya biashara zako halali?