Mtoto chakaramu katika familia : kwa Wapare ina tafsiri yake tofauti kidogo

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,793
Usasa umeficha mengi ya kienyeji na kizawa yenye faida kubwa... Kuna hili la mtoto mmoja katika familia kuwa tofauti kabisa na wenzake kitabia, kisura na hata kimtazamo
Mada hii ni tofauti kidogo na ile ya
Hii ni kwa imani za Kipare.. Pengine makabila mengine yana tafsiri zao pia... Lakini kiuhalisia inapaswa watoto wanaozaliwa kwa baba na mama mmoja wasitofautiane sana kitabia, wajihi na mitazamo... Ukiachana na ile kuiga kazi za wazazi ama kizalia cha ukoo kwa baba au kwa mama ama ishu za kurithisha jina
Kwa Wapare baada ya ku digest yote hayo na kukuta hayana uhusiano basi mtoto aliye tofauti na wenzake katika familia huanza kufuatiliwa background yake tangu kutungwa mimba...
Kama makabila mengine yanavyoamini kuwa mtoto ni wa mama kwa maana ya kwamba ajuaye baba halisi wa mtoto niama basi hata kwa Wapare ni hivyo hivyo..
Ufuatiliaji wa mtoto husika hufanywa kwa siri kubwa na weledi wa hali ya juu.. Na in most cases majibu huwa positive na mama huandaliwa utaratibu wa kuulizwa kisha baada ya hapo huandaliwa tambiko la kumaliza hilo jambo
Kuna baadhi ya cases unakuta mtoto ndani ya familia A tabia zake zinafanana sana na watoto wa familia B Kijijini hapo ama kijiji cha jirani.. Na historia ikifuatiwa utakuta mimba ilitungwa wakati mama akiwa na safari zisizokoma kijiji cha jirani ama kuwa na ukaribu fulani na mzee fulani kijiji hapo..

Kuchapiwa na kubambikiwa mimba hakukuanza leo...

Juzi ililetwa habari hapa ya jamaa anaitwa Juma Lokole maarufu kwa umbea na uchambaji kwenye ishu za wanawake.. Nikapata hamu ya kumfuatilia.. Kumbe huyu ndugu katokea familia ya washika dini hasa ila pekeyake ndio ana mambo ya ajabu ajabu
Nimetafakari mengi kuhusu huyu ndugu anayejitapa ana PhD ya ualimu toka UD lakini badala ya PhD akasema PDF... Namfananisha kwa karibu sana na mwanaJF mmoja jukwaa la celebrity... Umbea wote wa mjini anaujua.. Inawezekana kabisa ni mtu mmoja au ni coicedence
Kwa jinsi Juma alivyo tofauti na ndugu zake wengine kwenye familia kule upareni wazee wange launch investigation

Jr
 
Kila mtaa una mchawi wake na kila familia huingiliwa na shetani kutaka kuweka mizizi yake pale, hili nalo huchangia mmojawapo kuwa tofauti.
 
Kama huyu shetani aliyeamua kumuingia muumini kanisani
Kila mtaa una mchawi wake na kila familia huingiliwa na shetani kutaka kuweka mizizi yake pale, hili nalo huchangia mmojawapo kuwa tofauti.

Jr
 
Ni maneno ya hekima ya kumlinda mtoto aliyezaliwa

Jr
Nakubaliana na mada kwakuwa nimeshayaona.

Suala la kitanda hakizai haramu, nadhani maana yake inapotoshwa; kauli au msemo huu ulikuwa na maana ya kuwalinda watoto wote waliozaliwa na wazazi wanaoishi pamoja ila hawana NDOA rasmi ya kimila au kidini.

Wenye dini zao walijaribu kuwabagua watoto hao kwa kuwaita HARAMU kwakuwa wamepatikana bila ndoa rasmi; KITANDA HAKIZAI HARAMU
 
Nakubaliana na mada kwakuwa nimeshayaona.

Suala la kitanda hakizai haramu, nadhani maana yake inapotoshwa; kauli au msemo huu ulikuwa na maana ya kuwalinda watoto wote waliozaliwa na wazazi wanaoishi pamoja ila hawana NDOA rasmi ya kimila au kidini.

Wenye dini zao walijaribu kuwabagua watoto hao kwa kuwaita HARAMU kwakuwa wamepatikana bila ndoa rasmi; KITANDA HAKIZAI HARAMU

Jr
 
Kwa jinsi Juma alivyo tofauti na ndugu zake wengine kwenye familia kule upareni wazee wange launch investigation
 
Usasa umeficha mengi ya kienyeji na kizawa yenye faida kubwa... Kuna hili la mtoto mmoja katika familia kuwa tofauti kabisa na wenzake kitabia, kisura na hata kimtazamo
Mada hii ni tofauti kidogo na ile ya
Hii ni kwa imani za Kipare.. Pengine makabila mengine yana tafsiri zao pia... Lakini kiuhalisia inapaswa watoto wanaozaliwa kwa baba na mama mmoja wasitofautiane sana kitabia, wajihi na mitazamo... Ukiachana na ile kuiga kazi za wazazi ama kizalia cha ukoo kwa baba au kwa mama ama ishu za kurithisha jina
Kwa Wapare baada ya ku digest yote hayo na kukuta hayana uhusiano basi mtoto aliye tofauti na wenzake katika familia huanza kufuatiliwa background yake tangu kutungwa mimba...
Kama makabila mengine yanavyoamini kuwa mtoto ni wa mama kwa maana ya kwamba ajuaye baba halisi wa mtoto niama basi hata kwa Wapare ni hivyo hivyo..
Ufuatiliaji wa mtoto husika hufanywa kwa siri kubwa na weledi wa hali ya juu.. Na in most cases majibu huwa positive na mama huandaliwa utaratibu wa kuulizwa kisha baada ya hapo huandaliwa tambiko la kumaliza hilo jambo
Kuna baadhi ya cases unakuta mtoto ndani ya familia A tabia zake zinafanana sana na watoto wa familia B Kijijini hapo ama kijiji cha jirani.. Na historia ikifuatiwa utakuta mimba ilitungwa wakati mama akiwa na safari zisizokoma kijiji cha jirani ama kuwa na ukaribu fulani na mzee fulani kijiji hapo..

Kuchapiwa na kubambikiwa mimba hakukuanza leo...

Juzi ililetwa habari hapa ya jamaa anaitwa Juma Lokole maarufu kwa umbea na uchambaji kwenye ishu za wanawake.. Nikapata hamu ya kumfuatilia.. Kumbe huyu ndugu katokea familia ya washika dini hasa ila pekeyake ndio ana mambo ya ajabu ajabu
Nimetafakari mengi kuhusu huyu ndugu anayejitapa ana PhD ya ualimu toka UD lakini badala ya PhD akasema PDF... Namfananisha kwa karibu sana na mwanaJF mmoja jukwaa la celebrity... Umbea wote wa mjini anaujua.. Inawezekana kabisa ni mtu mmoja au ni coicedence
Kwa jinsi Juma alivyo tofauti na ndugu zake wengine kwenye familia kule upareni wazee wange launch investigation

Jr
Duhh...ila hata mimi juma lokole ndo angekuwa ndugu yangu nisingekuwa na mahesabu nae...hasara kubwa ile.
 
Back
Top Bottom