Mtoto auawa kwa kukatwa ulimi, korodani na kulawitiwa

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,353
– Akutwa akiwa amekatwa sehemu za siri na ulimi
– Yasadikiwa pia alilawitiwa kabla ya kuuawa

Mtoto Fraterin Massawe (11) mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya msingi Magereza aliokotwa akiwa ametupwa katika shamba linalomilikiwa na masista wa kanisa katoliki lililopo Karanga.

Amesema mtoto huyo alikutwa akiwa na jeraha kubwa usoni, huku korodani zikiwa zimeondolewa pamoja na ulimi na kwamba anaonekana kulawitiwa kutokana na kukutwa na haja kubwa .

Taarifa za awali zinasema mtoto huyo alitoweka nyumbani Mei 21, mwaka huu na kwamba alionekana na mtu alitajwa kuwa ni Mariki Peter Olomi (45) mkazi wa Kibosho road.

Kamanda alisema mtuhumiwa anashikili kwa uchunguzi zaidi na kwamba mwili wa mtoto huyo umehifadhiwa katika Hospitali ya Mkoa ya Mawenzi.

Kamanda wa polisi mkoani Kilimanjaro Flugence Ngonyani, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba lilitokea Mei 23, mwaka huu saa 1:00 asubuhi katika kijiji cha Katanini kata ya Karanga manispaa ya Moshi.
 
Angaliwa ustarabu uliopo katika uzi huu,lakini ingekuwa jina la mtendaji wa haya ni la dini isiyokuwa imetwajwa hapa,ungeona maneno yasio ya kiistrabu.
Inauma sana,ni majonzi na maskitiko kwa sisi watanzania wote.Poleni sana mliopoteza mpendwa wenu.
 
Ivi unawezaje kumfanyia mtoto unyama mkubwa kama huu, kweli unamnyonga hadi kumuua angali anakuangalia, anakulilia, alafu unamkata ulimi, unamkata uume wake, jamani jamani ivi we ni binadamu kweli! kama hayo unayoyafanya ni mazuri kwa nini usianze kwa watoto wako? Pesa ni kitu gani jamani? we c una viungo vingi tu kwa nini usikate vya kwako ukaviuza? Binadamu binadamu mbona tumekuwa na roho ya simba.
Uuuwi!!!
 
– akutwa akiwa amekatwa sehemu za siri na ulimi
– yasadikiwa pia alilawitiwa kabla ya kuuawa

ntoto fraterin massawe (11) mwanafunzi wa darasa la nne katika shule ya msingi magereza aliokotwa akiwa ametupwa katika shamba linalomilikiwa na masista wa kanisa katoliki lililopo karanga.

Amesema mtoto huyo alikutwa akiwa na jeraha kubwa usoni, huku korodani zikiwa zimeondolewa pamoja na ulimi na kwamba anaonekana kulawitiwa kutokana na kukutwa na haja kubwa .

Taarifa za awali zinasema mtoto huyo alitoweka nyumbani mei 21, mwaka huu na kwamba alionekana na mtu alitajwa kuwa ni mariki peter olomi (45) mkazi wa kibosho road.

Kamanda alisema mtuhumiwa anashikili kwa uchunguzi zaidi na kwamba mwili wa mtoto huyo umehifadhiwa katika hospitali ya mkoa ya mawenzi.

Kamanda wa polisi mkoani kilimanjaro flugence ngonyani, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba lilitokea mei 23, mwaka huu saa 1:00 asubuhi katika kijiji cha katanini kata ya karanga manispaa ya moshi.

fraterin massawe - rip. Aliyeleta uzi huu aliwajibika kufanya utafiti wa kina kabla ya kutoa taarifa zenye maelezo yasiyo na ukweli. Daktari aliyethibitisha kifo cha mtoto, mzazi wa mtoto, walimu wa shule ya msingi magereza na viongozi wa jumuia ya kanisa katoliki karanga wamethibitisha kuwa mtoto huyo hakukatwa ulimi wala korodani zake.

Ukweli ni kuwa mtoto alilawitiwa na kisha kuuawa inaelekea ni baada ya kuvunjwa uti wa mgongo.

Majonzi waliyoyapata wahusika yanatosha. Mleta uzi hakuwa na haja ya kuzidisha chumvi kiasi hiki.

Poleni sana wafiwa wote na wote walioguswa na taarifa hii yenye dosari za kutia simanzi.
 
Angaliwa ustarabu uliopo katika uzi huu,lakini ingekuwa jina la mtendaji wa haya ni la dini isiyokuwa imetwajwa hapa,ungeona maneno yasio ya kiistrabu.
Inauma sana,ni majonzi na maskitiko kwa sisi watanzania wote.Poleni sana mliopoteza mpendwa wenu.

Wewe mwehu kweli, muhusika si MALIKI umeambiwa?Hata hvyo vısa vipo vingı na vinawahusu watu tofauti.
 
Hv hadi mtoto analawitiwa hao walawiti wanakuwa na maumbo gani?Mangi punguzeni bange na viroba aisee.
 
Hao sasa hivi utajiri wao wanautafuta kwa njia hiyo, ni washirikina balaa, ukiona anang'ang'ania mia kwenye biashara yake atakwambia nimetumwa hela mjini kumbe huko darini anamsukule wake..!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom