Mtoto atumbukia kwenye shimo la choo Shule ya Msingi Mabibo Dar es Salaam.

jambo1

JF-Expert Member
Jul 5, 2009
241
29
Taarifa za Hivi punde zinasema kuna mwanafunzi wa Chekekea Shule ya Msingi Mabibo Dar es Salaam ametumbukia kwenye shimo la Choo Shuleni hapo..Kwa sasa Vikosi vya Zima moto na Majitaka Dsm vinaendelea na Zoezi la Kutoa Uchafu ili kuweza kunusuru Maisha ya mtoto huyo..,ila dalili zinaenyesha naweza kuwa ameshafariki dunia..!Nikipata News Zaidi Nitawajuza..!

Source:EA Radio Super Mix Ya Zembwela na Michael Baruti
 
Kwa hakika taifa halija jiandaa kwa Maafa...!
Maswali yanaweza kuwa meengi..,Je Choo ni kizima(sio chakavu)..,Je choo kiliandaliwa kwa ajili ya watoto wadogo(size ya shimo likoje)?..,Maswali yanaweza kuwa meengi zaidi...!Haya yote yanahitaji Majibu ya Msingi na Sio majibu ya Kisiasa..!
 
Back
Top Bottom