Mtoto apewe last name gani

Atoti

Senior Member
Nov 30, 2010
118
6
WanaJF nina jambo nilikutana nalo nikabaki na swali!

Kuna dada niko karibu naye alidivorce na mumewe na wana mtoto 1 apparently jamaa alikuwa homo.. Wakati wametengana the kid was 4 n half mths sasa hivi she is 6 n half yrs huyo kaka hamhudumii mwanae kwa lololote na hayuko bothered hata kumuona mwanae dada kajaribu kumuweka karibu na mwanae amechoka tangu waachane kamuona mwanae only once akiwa 4yrs! Hv mtoto anastahili kweli kupewa last name ya babaye au apewe ya ujombani.. Shule kaandikishwa kwa majina yake mwenyewe mawili now wanataka la tatu ndiyo mama yuko kwenye dilemma.. Binafsi nadhani vyote hvyo havichange fact kuwa ndiye baba wa mtoto but inakera kwa kweli mtu kuwa irresponsible hvyo mpaka mama anatamani kumdelete mpaka last name duh!

Ingekuwa ww ungefanyaje?
 
No matter wat happen still yeye ndio baba wa mtoto....apewe tu jina la baba yake japo inakera sana
 
Mh huyo dada nampa pole sana, lakini maisha yanaendele, huyo mtoto apewe jina la kwanza la babaake ila si la ukoo wa babake mfano john, hakuna atakaejua john ni ukoo gani.
 
Hana jinsi hata akibadili jina Baba atabaki kuwa baba tu hata akifanya nini hakuna kitachochange hapo awe mpole tu. Wanaume ndo walivyo
 
Massawe, Mushi, Mboya, Chuwa, KIssima, Lema, Mallya - chagua mojawapo lakini gharama yake ni mbuzi
 
mmmhhhh haya mambo nimeyapitia na mie natumia jina la mwisho la mama yangu....
 
Simple!!! Apewe la baba assume baba amefariki na hakuna matunzo kutoka upande wake, mtoto atapewa jina la nani?
Usikute kamsingizia jamaa huyo mtoto-kigugumizi cha nini?sorry to say ila kinamama hawaaminiki katika swala la nani ni baba halisi wa mtoto.
 
apewe la mama yake!kwani inapunguza nini..?

kweli kabisa. Mi nna sista angu ana mtoto toka hajazaliwa babake alimkataa,sasa ana three years kampa majina ya upande wa kwao yote matatu. Kuna kipindi babake akaja ati mtt abadilishwe jina,wee alimtimua vibaya sana. Na mbaya zaidi hatoi hata senti tano yake kumtunza mtt,sasa kuna haja gani kumpa jina lake! Mtto anahitaj matunzo ya wazazi wote toka mdogo sasa kama alipotea toka akiwa kichanga kuna haja gani ya kumpa jina lake?
 
Hapo sasa.....asiyekuwepo na lake halipo....labda kama amefariki!!!Kua baba nii zaidi ya jina!
 
Nani kama baba?!! Haijalishi kama anamtunza au hamtunzi lakini ndo mzazi wake (baba yake). Ndo kamzaa kutoka viunoni mwake. Hiyo mtu hawezi kubadili. Kumbe aitwe jina la baba yake mzazi tu. Hakuna jinsi. Mtu huwezi kujichagulia wa kukuzaa.
 
Simple!!! Apewe la baba assume baba amefariki na hakuna matunzo kutoka upande wake, mtoto atapewa jina la nani?
Usikute kamsingizia jamaa huyo mtoto-kigugumizi cha nini?sorry to say ila kinamama hawaaminiki katika swala la nani ni baba halisi wa mtoto.

Yaani ukimuona mtoto wala huulizi ni wa nani copyright ya babaye.. Sema tu bibie anakereka na kutowajibika kwa jamaa.. Ndo anataka amdelete kbs kwny makaratasi yanayomhusu mtoto..
 
kweli kabisa. Mi nna sista angu ana mtoto toka hajazaliwa babake alimkataa,sasa ana three years kampa majina ya upande wa kwao yote matatu. Kuna kipindi babake akaja ati mtt abadilishwe jina,wee alimtimua vibaya sana. Na mbaya zaidi hatoi hata senti tano yake kumtunza mtt,sasa kuna haja gani kumpa jina lake! Mtto anahitaj matunzo ya wazazi wote toka mdogo sasa kama alipotea toka akiwa kichanga kuna haja gani ya kumpa jina lake?

Yaani ukiangalia kwa undani viumbe wana maudhi hawa saa nyingine.. The last tym waliongpea kwa simu huyo kaka akawa anajishebedua matokeo yake bi dada akamwambia 4get u ever had a child with.. Inakera kwa kweli.
 
Wadada samtaim hufurahisha sana....amfute asimfute ukweli utabaki pale pale. Ila kama kumfuta kutamfanya ajisikie vizuri basi na amfute tu.
 
Nani kama baba?!! Haijalishi kama anamtunza au hamtunzi lakini ndo mzazi wake (baba yake). Ndo kamzaa kutoka viunoni mwake. Hiyo mtu hawezi kubadili. Kumbe aitwe jina la baba yake mzazi tu. Hakuna jinsi. Mtu huwezi kujichagulia wa kukuzaa.
there are alot of dads but very few r fathers. Hapo mtoto akikua akafanikiwa atajileta.. walahi ntasaidia kumkimbiza na mawe. Loh
 
Back
Top Bottom