Mtoto anatokwa na jasho hata Kama ni nyakati za baridi

black jeus

Member
Oct 16, 2020
66
173
Habar JF Doctor,

Nina mwanangu ana miezi sita, anatokwa na jasho ana kichwan akiwa amelala, amekaa au anakula. Je, hali hii inasababishwa na nini? Je, ina madhara gan kwenye afya yake?

Naomba msaada ta tafadhali!
 
Habar JF Doctor,Nina mwanangu ana miezi sita,anatokwa na jasho ana kichwan akiwa amelala,amekaa au anakula,je hali hii inasababishwa na Nini?je ina madhara gan kwenye afya yake ?naomba msaada ta tafadhali!
Nami nipo hapa maana pia wangu anafanya hivyo hivyo, ila wangu ana miezi miwili sijui shida nini?
 
Wa kwangu anakaribia miaka 3 na amekuwa na hiyo hali tokea. Sijaona madhara yoyote so far, tunajitajidi tu kumpa maji mara kwa mara a- compensate anachopoteza. Nami pia nasubiri nisikie wataalam watasemaje
 
Ni kawaida kabisa yani hata usiwaze cha muhimu HANA HOMAA NA JOTO LA MWILI HALIJAPANDAA PIA HAKOOI hasa usikuu..!! So relax hata usiwazee.
 
Watoto wanakua na high metabolism so hiyo hutokea katika situation hiyo.
 
Hadi wangu jmn ana six months Yan akilala ukimuinua kilipo kuwa kichwa pamelowa kabisa
 
Metabolism ya mtoto iko juu,inapotokea husababisha hiyo hali na kupelekea kutokwa jaaho,hivyo unapaswa kumfuta jasho na kitambaa safi na kama ni dirisha apate hewa safi kwa muda then mrudishie nguo. Ukiacha madhara yake jasho linaenda kuziba vinyweleo na Usipochukua hatua hapo juu mzazi ujiandae mtoto kupata neumonia.. Nawasilisha.
 
Habar JF Doctor,

Nina mwanangu ana miezi sita, anatokwa na jasho ana kichwan akiwa amelala, amekaa au anakula. Je, hali hii inasababishwa na nini? Je, ina madhara gan kwenye afya yake?

Naomba msaada ta tafadhali!

Ni kweli kwa watoto kuwa na mfumo wa kusaga na kutumia chakula kuwa unafanya kazi kwa kiasi kikubwa/metabolism. Hii hutokana na mahitaji ya mwili kwenye ukuaji na shughuli nyinginezo. Hivyo, hili kuwa suala la kawaidi.

INGAWA:
Tatizo linakuja pale neno jasho jingi ni subjective pia. Hakuna anaeweza kuthibitisha hicho kiasi cha jasho, ila ni muhimu kujua mambo mengine pamoja na kumwona mtoto. Ili kuwa na uhakika zaidi na kinachotokea.

Pia itaangaliwa vitu kama: uhitaji wake wa chakula/kiasi, uongezekaji wa uzito, utekelezaji wa makuzi kwa viungo mbalimbali/growth milestones.

Hii kwa ujumla itasaidia hasa kwa watoto wanaozaliwa na matatizo ya kiafya kama kiasi cha thyroid. Mtu mhimu wa kumwona anakuwa ni daktari bingwa wa watoto.
 
Habar JF Doctor,

Nina mwanangu ana miezi sita, anatokwa na jasho ana kichwan akiwa amelala, amekaa au anakula. Je, hali hii inasababishwa na nini? Je, ina madhara gan kwenye afya yake?

Naomba msaada ta tafadhali!
Mwanangu ana miezi sita yupo Iringa chakushangaza wakati wa joto Dogo hatokwi na jasho na anakua poa tu lkn wakati wa baridi mtoto anatokwa na jasho Hatari hachemki wala kukohoa naomba mnisaidie hili wataalam wa afya kuna baadhi nmeuliza wanasema huenda ikawa dalili ya dege dege naona zengwe tu naweka Uzi huu mezani mnisaidie nijue naanzia wapi kuitatua hii changamoto yake
 
Back
Top Bottom