Mtoto anastahili kusoma sekondari ya Kata hata kama ni wazi atapata Division zero, toa maoni yako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto anastahili kusoma sekondari ya Kata hata kama ni wazi atapata Division zero, toa maoni yako

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by DT125, Jan 21, 2012.

 1. D

  DT125 JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 203
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Tatizo kubwa la wazazi kususa kuwapeleka watoto shule na kulipia michango ya shule ni matokeo mabovu ya mitihani ya kidato cha nne. Shule zipo katika mazingira magumu yasiyo rafiki ya kielimu, wanafunzi ufaulu unaanzia Daraja la nne na waliobaki wote sifuli. Matokeo ya namna hii hayawezi kumshawishi mzazi kuingia ghalama za kumsomesha mwanae kwani waliomaliza maisha yao hayatofautiani na wale walioishia darasa la saba. Ni wakati wa kutafakari na kuchukua hatua stahili.
   
 2. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu samahani hizi shule saizi zina jina jipya VIJIWE VYA KATA pole sana kama nitakuwa mbali na mada.
   
Loading...