Mtoto anapo ambukizwa ukimwi toka kwa mama anaweza kuishi hadi umri gan kabla hajafa kwa ukimwi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto anapo ambukizwa ukimwi toka kwa mama anaweza kuishi hadi umri gan kabla hajafa kwa ukimwi?

Discussion in 'JF Doctor' started by snail, Apr 21, 2013.

 1. s

  snail JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2013
  Joined: Nov 8, 2012
  Messages: 462
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Ningependa kufahamu kama mtoto anapopata maambukizi ya ukimwi toka kwa mama yake wakati wa kuzaliwa anaweza kuishi na virusi vya ukimwa kwa muda gani hususa ni akiwa anatumia ARVs.
   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2013
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,607
  Likes Received: 5,654
  Trophy Points: 280
  Mambo mengine yanauma kama umechomwa mkuki moyoni. poleni sanag
   
 3. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2013
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 27,444
  Likes Received: 7,592
  Trophy Points: 280
  25-30 years
   
 4. mdoe

  mdoe JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2013
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 436
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kuna ninaemfahamu, it was the same case. now she is 23 and healthy.
   
 5. s

  snail JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2013
  Joined: Nov 8, 2012
  Messages: 462
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  mbona pole kwan kunatatizo kuuliza!
   
 6. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2013
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,607
  Likes Received: 5,654
  Trophy Points: 280
  huwa naumia sana kuona kwamba japo huyu mtoto yupo
  lakini yuko on the way,
  kwa kweli huwa sipendi kabisa.

   
 7. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2013
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  who said ur not on the way?tena even before her....acha unyanyapaa wako shenzy!!!
   
 8. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2013
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,607
  Likes Received: 5,654
  Trophy Points: 280
  hee yamekuwa hayo,
  ngoja nikuripoti na mathusi yako.

   
 9. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2013
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  wameshindwa la serukamba litakua hili..........ripot ila ujumbe umekufikia umeniboa sana hustahili kuitwa Great thinker.
   
 10. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #10
  Apr 22, 2013
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,904
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Kumbe wengine hakuna ni waathirika tu!!!!????
   
 11. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2013
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,904
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Kwa kweli hata mimi hapo sikumuelewa kabisa!!
   
 12. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #12
  Apr 22, 2013
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,607
  Likes Received: 5,654
  Trophy Points: 280
  sijajua unachonituhumu nacho,
  nilikuwa i was only replying huu uzi,
  kama nimekukwaza i can say sorry.

   
 13. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #13
  Apr 22, 2013
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,607
  Likes Received: 5,654
  Trophy Points: 280
  i was replying this " Mtoto anapo ambukizwa ukimwi toka kwa mama anaweza kuishi hadi umri gan kabla hajafa kwa ukimwi?

   
 14. n

  ng`wana ong`wa kulwa JF-Expert Member

  #14
  Apr 22, 2013
  Joined: Mar 14, 2013
  Messages: 2,241
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Kwanza niseme mtoto haambukizwi UKIMWI-Ukosefu Wa Kinga Mwilini. Ila anachoambukizwa ni VVU-Virusi Vya UKIMWI.Hakuna mtu anayeweza ku gurantee miaka ambayo mtoto anaweza kuishi baada ya kuzaliwa na HIV maana inategemea na kinga za huyo mtoto kama ziko weak ni hakika anaweza kufa akiwa bado mtoto lakini akiwa na kinga kubwa mwilini mwake anaweza kukua hata kuwa mtu mzima.
   
 15. mdoe

  mdoe JF-Expert Member

  #15
  Apr 22, 2013
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 436
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  very true. akifanikiwa kufika miaka 25, ni imani yangu kutakua na improvement kubwa kwenye tiba ya HIV na possibly akaishi mpaka 50s kama mungu ndivyo alivyompangia.
   
 16. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #16
  Apr 22, 2013
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,797
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Dada mkubwa Mamndenyi,hapa umepotoka aisee!
  We are all on the way,na kutokuwa na UKIMWI si guarantee hata kidogo kuwa utaishi miaka mingi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #17
  Apr 22, 2013
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,607
  Likes Received: 5,654
  Trophy Points: 280
  nawashangaa tena mnaniacha hoi,
  kwani uzi unasemaje? .......Mtoto anapo ambukizwa ukimwi toka kwa mama anaweza kuishi hadi umri gan kabla hajafa kwa ukimwi?............. hiyo ya kusema we are all on the way na mimi najua pia,
  lakini nilikuwa kwenye thread shosti.

  mi naona mnataka kuniparua
  kama vipi mwambieni aondoe huu uzi.

  muwe mnasoma na topic za wenzenu muelewe, ulitaka nijibu je?

   
 18. T.Mwambungu

  T.Mwambungu JF-Expert Member

  #18
  Apr 22, 2013
  Joined: Jan 25, 2013
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  >Kuna mtoto wa my sister alizaliwa na virus hivyo.
  >Vilianza kumtesa akiwa na miaka 12,
  na akafa akiwa na miaka 16.
  >Kwa uzoefu wangu naamini kuwa Mtoto aliyezaliwa na tatizo hilo mara nyingi huanza kupata taabu akiwa na miaka 9-14
  .
  >Lakini kwa sasa kifo chake kinategemea na lishe,matunzo bora na kutumia madawa yaliyopo kwa wakati muafa.
   
 19. i

  incharge JF-Expert Member

  #19
  Apr 22, 2013
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 1,199
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  ni aibu sana kama hadi leo kuna watu wana mtazamo hasi kama wako, shame on you mamndenyi
   
 20. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #20
  Apr 22, 2013
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  atajitetea lakini ukweli unabaki pale pale...amenyanyapaa.....
   
Loading...