Mtoto anaharisha kila akinyonya

Mr Anold

JF-Expert Member
Jan 19, 2012
218
46
Dr naomba msaada maana mwanangu miezi 3 kasoro siku 6 anaharisha maji maji kila baada ya kunyonya. Tatizo lilianza jana usiku.

Kuna wanaotuambia eti yawezekana mama yake ni mjamzito na wengine wanasema ni side effect za sindano ya chanjo ambayo alichomwa ijumaa. Nimebaki dilema sasa.

Haonyeshi dalili za maumivu na amechangamka anacheza vizuri kabisa ila tu akishanyonya withing 2 to 3minutes anapoo maji maji.

Naomba msaada.
 
PELEKA MTOTO HOSPITAL HARAKA SANA
HUU NI KATI YA MAGONJWA YANAYOUA WATOTO KWA MUDA MFUPI.

NYANYUKA SASA HIVI.
nimeandika kwa herufi kubwa kuonesha msisitizo, mkeo hakuambiwa klinik?
 
WanaJf, naomba mnijuze dawa ya asili na kizungu ambayo inasaidia kusafisha maziwa mwanangu anamiezi mitano kila akimaliza kunyonya tu anaharisha lakini pia ameanza kukaa ni wakiume.

Nnaomba ushauri na msaada wa haraka.
 
Mama wa mtoto akachukue vipimo vya mimba inawezekana mama ana mimba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom