Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
Ni juzi jumapili natoka kanisani, nikiambatana na waumini wenzangu tuna toka eneo la kanisa, mbele yangu kuna kijana ambaye nahisi anaweza kuwa na umri kati ya 35/40 ameongozana na watoto wawili mmoja ni mchanga hivi anaweza kuwa na miezi kama 6 hivi amembeba na mwingine wa kiume ambaye anaweza kuwa na umri wa 1/2 amemshika mkononi. mazungumzo yao yalikuwa hivi
Baba: msubirie mama yako uongozane nae
Mtoto:Sitaki
Baba:kwa nini utaki kuongozana na mama yako?
Mtoto: Simpendi mama kwa sababu uwa anafanya mchezo mbaya usiku na wewe.
Watu tulio kuwa nyuma yao tulibaki na mshangao mkubwa hasa kutokana na maneno ya huyo mtoto mdogo ambaye hakuna aliyedhania yule mtoto angeweza kuongea maneno kama yale, na hii inaonekana huyu jamaa analala chumba kimoja na huyu dogo na usiku wanakula lile tunda wakidhani dogo amelala kumbe anawacheki...
Swali; je ni kwa nini mtoto amchukie mama yeke na siyo baba yake?
je huyu mtoto amejua je kuwa hule ni mchezo mbaya ?