mtoto amezaliwa ubongo wake ukiwa nje.

cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,585
497
ul1.jpg

ul2.jpg
 
Cheusimangala,

Hi imetokea bongo?...Damn!!!..This is one wierd form of encephalopathy!
Mungu awasaidie wajameni maana ingekua mwanangu hata sijui ningefanyaje.
 
OMG hii ni hatari aisee na huduma zetu zilivyo ovyo, mzazi unaweza kuchanganyikiwa!!!
 
Duh!!!...sasa tuone ahadi za CCM zikifanya kzai kumshughulikia huyu bwana mdogo.Amen.

mmh kwa kweli tumuombeeni kwa Mungu tu,nasikia mbali na kuzaliwa hivyo ana afya nzuri kabisa,sema hali ni tete sana hiyo kwa huduma za afya za bongo hasa ukizingatia wazazi wake ni maskini wa kule vijijini.
 
namwone huruma sana huyu mtoto..
Mwenyezi Mungu amsaidie tu...
na wapa pole sana wazazi wake.....
 
Tusubiri maisha bora kwa KILA mtanzania ikavyokuwa applied hapo. Pole mama!
 
Cheusimangala,

Hi imetokea bongo?...Damn!!!..This is one wierd form of encephalopathy!
Mungu awasaidie wajameni maana ingekua mwanangu hata sijui ningefanyaje.
Case za hivi huwa zinashughulikiwa vipi? Wanaweza kumsaidia kweli?
 
Case za hivi huwa zinashughulikiwa vipi? Wanaweza kumsaidia kweli?
Inabidi tuwaambie sisiem wamrushe dogo kwenda angalau Indian akapate matibabu mbona last week yule bibi Hawa Ngulume alipolialia wakampeleka india?? kwa kodi za wavuja jasho wa Tanganyika??:bump:
 
Tunamuomba Mwenyezi MUNGU amlinde kwani tunaamini
yote ni mapenzi yake kumuwezesha huyo mtoto
azaliwe AMINA!
 
kinachonisikitisha ni kwamba huyu mtoto hata akifariki hatutajua,watakaa kimyaa.
 
dah!! inasikitisha... sana .. hii pia inasababishwa na umaskini wa nchi yetu kutokuona matatizo ya mtoto kabla hajazaliwa. katika nchi za wenzetu huwezi kuona hii kitu mafano... katika hospitali ninayofanyia clinical rotations nilikutana na m.mke on my morning rounds CHAT yake inasema alifanya abortion with in her 2nd trimester baada ya madactari kugunduwa mtoto angezaliwa na defect ambayo ingehitaji kuwa corrected kwa operation, since yule mama hakuwa on insurance na operation ni bei mbaya na pia percentage ya mtoto kutoka alive ni ndogo sana .. akashauriwa to giveup her unborn baby! .. Ifike kipindi serikali yetu ya bongo iwekeze katika afya na vifaa vya kisasa sansana kwa kina mama & watoto
 
hili kwenye dini zetu limekaa vp ?

jee katika hali kama hio mzazi akajuilishwa kuwa mtoto ataezaliwa anadeffect inakubalika kutoa mimba kwa kimbia gharama za matunzo au fedha?
 
hili kwenye dini zetu limekaa vp ?

jee katika hali kama hio mzazi akajuilishwa kuwa mtoto ataezaliwa anadeffect inakubalika kutoa mimba kwa kimbia gharama za matunzo au fedha?

hapo kwenye dini bado sijajua inabdi tuwaulize wasomi , ila kama angerehusu mtoto azaliwe asingeishi more than a week! some of congenital defects they are lethal survival yake for an infant ni ndogo saana..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom