Mtoto ameokotwa yupo serikali za mtaa Kunduchi

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,265
4,729
Huyu mtoto kaokotwa ametupwa na dereva wa bodaboda, nisaidieni kusambaza yupo serikali ya mtaa Kunduchi.

Hii picha ya mtoto;

img-20170225-wa0008-jpg.474280
 
Hii story nimeiona kwenye whatsap groups nikaona niilete hapa
 
yaani bodaboda ndo aliyemuokota au aliyemtupa, sijaelewa kidogo hapo. samahani
Mleta mada ajafafanua vizuri, nadhani ni mtoto alitupwa halafu dereva wa bodaboda ndio kamuokota.
 
Au ndo yule alie ripotiwa kwenye heka heka,aliibwa akiwa mikononi mwa mama yake.
 
mtu kasha amua kumtupa hawezi kuja tena..... Maskini mtoto mwenye baba na mama waliopo hai leo hii ana kwenda kulelewa kwenye vituo vya watoto yatima. Sad
 
Maskini mtoto mzuri,inawezekana hajatupwa na mzazi wake labda aliibiwa na msichana wa kazi.

Niliona instagram tangazo mama mmoja kaibiwa mtoto wa miezi mitatu na msichana wa kazi
 
Back
Top Bottom