Mtoto aliyeokolewa kwenye ajali Z'bar

m_kishuri

JF-Expert Member
Jan 27, 2010
1,485
372
x2_8312dff

Little gal saved by Divers #ZanzibarBoatAccident
from lockerz.com.

x2_8312bf8

Malaika wa Mungu, she must have been so traumatized(sp) Al Jazeera just said 190 confirmed dead from ZNZ police,

So though its grim am glad those who survived are more than those who lost their lives

Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la bwana libarikiwe

amina

Nijambo la kumshukuru mungu kwa huyo mtoto kwani ni wengi wamepoteza maisha na yeye kupona

She must hav suffered alot....bt mungu ndiye aliyempigania,anasema 'sikio lake si zito hata asisikie maombi ya mwenye haki'.....sifa na utukufu ni kwake,....

tatizo letu hatujifunzi kutokana na makosa! Mungu sijui atatusikia vingapi!hata uzembe?

si busara kufikiri mungu anahusika na vifo vya waliokufa katika ajali ya kuzama kwa meli.
Ati waliokufa bwana ametwaa. Waliookoka, bwana amewapigania.
Hii ni akili mgando. Yehova haoni shangwe kwa kifo cha mwanadamu. Yeye ameweka sheria za asili, pia ametuwekea sheria za kufuata. Tunapofanya kwa uzembe au udhaifu wa kibinadamu, si haki kumuhusisha Yehova na mambo mabaya yanayotupata kwa vile moja ya sifa zake ni upendo na anatujali.

Hausiki kwa namna yoyote na mauaji au kifo cha mwanadamu.

Nafikiri una matatizo ya akili.

R.I.P brothers and sisters!!!

si busara kufikiri mungu anahusika na vifo vya waliokufa katika ajali ya kuzama kwa meli.
Ati waliokufa bwana ametwaa. Waliookoka, bwana amewapigania.
Hii ni akili mgando. Yehova haoni shangwe kwa kifo cha mwanadamu. Yeye ameweka sheria za asili, pia ametuwekea sheria za kufuata. Tunapofanya kwa uzembe au udhaifu wa kibinadamu, si haki kumuhusisha Yehova na mambo mabaya yanayotupata kwa vile moja ya sifa zake ni upendo na anatujali.
Hausiki kwa namna yoyote na mauaji au kifo cha mwanadamu.

Dah siamini m2 mzima kuandika maneno kama haya Mungu aliweka wazi kuna hatua kuu tatu katika maisha ya mwanadamuoa kuzaliwa ndoa na kifo kamwe mwanadamu hawezi fahamu ni namna gani atakufa na siku gani hili ni fumbo ketu lakini kwake yy anafahamu nini kitatokea wakati gani na kwa kila jambo ni kwa mapenzi yake mola kila mmoja ana siku na dakika yake iwe kwa uzembe ama lah ndo njia iliyopangwa ww na mm hatujui

Yeye ndie aliyeumba heri na shari, na ndio maana Ayoub alijalibiwa kupimwa imani yake

Mwenyezi Mungu ashukuriwe.

Ila sijaelewa kitu kimoja, mbona watu wote hao wanamrudisha mtoto mmoja, sio wengine wangeendelea kuwatafuta wengine?

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom