Mtoto akiri kubakwa akilipiwa kuona video

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,722
21,775
Kwa wale wazazi wenye mapenzi mema na watoto wao
kwa watanzania mnaoishi tanki bovu karibu na ukuta wa mboma
kuna katoto kamekutwa na alfu kumi kana miaka 11,ka kike
baba na mama walikufa na ugonjwa wetu bahati mbaya naycho kanatumia
dawa zetu..akiwa na hela kumbe alianza kuwa na 500 nyumban wakimuliza
anadai kapewa na mama nanii...mara buku akawa ana buku 2000 akafia 3000
kama mnavyojua maisha yetu duni ya watanzania badala y kufwatilia mama mlezi
akichukua anakaa kimya.. majuzi kaja mjomba mtu akashanga mbona kila akirudi ana pesa
hamad leo kaingia na alfu kumi wazazi wanakichapa ndg ikabidi niingilie maana akuficha kitu anadai kuna kaka mkubwa anamlipiaga kiingilio kuangalia picha ni hapa karibu na kwa mboma
ttukawaambia jamani amesema kila kitu mnataka nini...akuacha hapo akataja watoto kama watatu ambao huyo mzee kijana alikuwa akiwalipia na kwend nao kichakani baada ya picha
nikaona wazazi tulinde watoto wetu jamani ninavyoangaika na mama wattoto kumbembeleza mtoto anyonye hivi fedhuli anakuja kuwamaliza kwa 500/1000

MKUU WA MKOA TUANGALIEN HIZI SEHEMU ZA KUONYESHA MAPICHA ZINAWAMALIZA
IMAGINE HUYU MTOTO ANATUMIA DAWA ZA UKIMWI...AMETAJA WENZAKE WATATU AMBAO NAANDIKA WANAENDEEELEA KULA KICHAPO MMOJA KAKIRI MMOJA BADO
SASA NAO HAWA HUJUI WAMETEMBEA NA MZEE KAVU AMA LAH............MUNGU UTUOKOE

NI REHEMA ZA AGAPE TU NDIO ZITAKAZOTULINDA JAMAN
 
Mh kweli dunia imekwisha aisee, duh! Kuna haja ya kuzuia vitu kama hivyo ila sasa vitoto navyo siku hizi vina tamaa sana, maana vinajua pesa kama nini. Nafikiri wazazi inabidi kuwa karibu sana na watoto ,maaana mibazazi isiyo na haya itawamaliza vijana wetu. Hilo babu na lilaniiwe kabisaaaa,!
 
Badala ya kusikitika, mnatakiwa kwenda kutoa taarifa polisi mara moja ili huyo mtu atiwe pingu.
 
mwana kijiji
wamembana amesema anakuja tu kwenye picha ajui anapoishi ,...labda tuombe asitonywe else
ni hadithi na na uhakika anaweza kuwatumia watoto wa jiran kumtoa yule mtoto maskini ukimwona amevimba tumbo
na madawa yetu lakini watu wana p.........................z hivyo hiyvo kizazi cha laana hiki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom